BadoHivi hatujawashusha kweli hawa Norwich?
Newcastle ana 33 na anacheza na Aston villa naona kama tumepiga msumali penye jeneza laoBado
Norwich anamichezo 2 imabaki. Newcastle akimaliza leo atabakiwa na mchezo 1.Newcastle ana 33 na anacheza na Aston villa naona kama tumepiga msumali penye jeneza lao
Hawa Swansea wanakuja kuchanganya ligi imeisha.West Ham 1-swansea 4 ft.
Kubalini kuwa finally mmeikamata rasmi michuano ya europa league, hamna wa kuwakuta! Kesho etihadi ni droo, ECL msahau mwaka huu. Kiukweli, manu mmeniangusha sana kwa kushindwa kuitoa arsenal top 4, ndo ilikuwa tiketi ya wenger kuondoka kama angeikosa top 4.We've done our bit, now Arsenal can do theirs!
Hata kama wakitoka droo hiyo kesho. Bado nafasi tunayoKubalini kuwa finally mmeikamata rasmi michuano ya europa league, hamna wa kuwakuta! Kesho etihadi ni droo, ECL msahau mwaka huu. Kiukweli, manu mmeniangusha sana kwa kushindwa kuitoa arsenal top 4, ndo ilikuwa tiketi ya wenger kuondoka kama angeikosa top 4.