Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,228
- 68,243
Narudia tena...sio rahisi kihivyo.Time will tell mkuu
Narudia tena...sio rahisi kihivyo.Time will tell mkuu
Punguzeni wivu + dharauGroup Stage wanaweza kutoka kapa, bila kushinda mechi hata moja
Asante mkuuPole kwakilocho kusibu leo
Naona leo monkey united mmekaza utadhani msimu bado sana kuisha. Hongereni kwa pointi 1 si haba .... naona hadi legend wenu alikuwepo jukwaani kuwaangali leo
Acha kupaniki mkuu kwa vitu visivyo vya msingi 'monkey' ni tusi? .... I AM SORRY kama nimekuudhi. ......Ujinga huu,
Huu utani wa Manara na Muro waachieni hao na ubaki hapa hapa bongo (kwenye ligi yetu) Umekosa la kuchangia mpaka uite timu ya watu Monkey...!!! Ustaarabu ni kitu cha bure na hauna gaharama yoyote..!! Mbona ninyi hatukutukaneni, unautoa wapu ujinga huu???
Hatukatai utani ila Matusi hayaruhusiwi.
BACK TANGANYIKA
Kwa hiyo braza unataka kusikia watu wakisema Leicester City watashinda UCL nini? Kwani hakuna uwezekano (ukizingatia matokeo ya soka) wa Leicester kutoka kapa kama tunavyosema? Kama kuna uwezekano kwanini useme wivu + dharau?Punguzeni wivu + dharau
kwani Man utd tulifika wapi UCL ?
Hamna ht aibu !!!!!!!
Mmeanza dua mbaya ...Mimi ni Man utd damu ...."oooooh Leicester watatoka kapa grup stage UCL" utabiri wa wapi huu? Oooooh watatia aibuKwa hiyo braza unataka kusikia watu wakisema Leicester City watashinda UCL nini? Kwani hakuna uwezekano (ukizingatia matokeo ya soka) wa Leicester kutoka kapa kama tunavyosema? Kama kuna uwezekano kwanini useme wivu + dharau?
Nakusalimu katika jina la AyewAcha kupaniki mkuu kwa vitu visivyo vya msingi 'monkey' ni tusi? .... I AM SORRY kama nimekuudhi. ......
Hahaaaa leo utaongea sana mtaniNakusalimu katika jina la Ayew
Mkuu kuna mwenzenu humu amesema kutukana siyo vizuri. Usituite 'loserfool'loserfool fans should thank brendan rodgers for selling sterling at 49 mil..what a great bit of business he has done, although They wasted £32 million on Benteke
Mwanangu akija shabikia Man u namfukuza nyumbani siwez nikaishi na Devil
Unaikumbuka €35 ya Andy carrol?loserfool fans should thank brendan rodgers for selling sterling at 49 mil..what a great bit of business he has done, although They wasted £32 million on Benteke
Mwanangu akija shabikia Man u namfukuza nyumbani siwez nikaishi na Devil

"Milan, Madrid, Paris, I've played![]()
Happy birthday to United legend David Beckham!![]()