Rojo atoke aingie fosu mensah
Wapuuzi kweli hawa, nao wanajitutumua kuuliza eti who we are, hahahaaaaa
Who are you???Wanaanza madharau hawa...kama alivyosema rubaman hawa baada ya misimu 2 watajikuta daraja la kwanza, kama Blackburn Rovers vile...hawana uwezo wa kuwabakisha Vardy na Mahrez...Hahahaaaaaaa eti mashabiki wa Leicester wanaimba "who are ya"
Hahahaaaaa we are Manchester utd you b*tch, 20 times league winner
Hawa wataenda kutia aibu UCL...Wenger Out, LVG OUT.... Timu kubwa chali msimu huu. Leicester City ni the new Blackburn Rovers of 1995. See them in Championship in next 2,3 seasons.
Hahahaha Ranieri anakwambia kwao Europa league, huku uefa kwa wenyewe tuHawa wataenda kutia aibu UCL...
Waache wa-enjoy the 15 minutes mkuu. Utawaona watakapoishia msimu ujao kama sio 19 or 18 position. Ubingwa unaweza kuwa the Blessing and the Curse kwao. Mnakumbuka kilichowatokea Portsmouth "Pompey" baada tu ya kubeba FA CUP timu ikashindwa hata kulipa wachezaji mishahara yao.Wanaanza madharau hawa...kama alivyosema rubaman hawa baada ya misimu 2 watajikuta daraja la kwanza, kama Blackburn Rovers vile...hawana uwezo wa kuwabakisha Vardy na Mahrez...
Hawa wataenda kutia aibu UCL...
Pole kwakilocho kusibu leoNaona leo monkey united mmekaza utadhani msimu bado sana kuisha. Hongereni kwa pointi 1 si haba .... naona hadi legend wenu alikuwepo jukwaani kuwaangali leo