Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
Nipo katika dua zangu leo the foxes watangaze ubingwa OT kwa goli 3 pointi 3
sio kirahisi hivyoNipo katika dua zangu leo the foxes watangaze ubingwa OT kwa goli 3 pointi 3
aaah wapiWatani zangu jiandaeni kuwapa kombe vijana machachali mbweha leicester
Time will tell mkuusio kirahisi hivyo
Nipo katika dua zangu leo the foxes watangaze ubingwa OT kwa goli 3 pointi 3
Yako yanakushinda kijana jiandae kupokea kichapo Leo kutoka kwa SwanseaNipo katika dua zangu leo the foxes watangaze ubingwa OT kwa goli 3 pointi 3
Sawa mkuuCycle inakamilika nyie mnaendelea kuwa wasindikizaji.Huenda kijana wa Kasper nae atakuja kubeba ubingwa kabla yenu
Teehee teeeheYako yanakushinda kijana jiandae kupokea kichapo Leo kutoka kwa Swansea
Mechi imekaribiaTeehee teeehe
Shindwaaa na ulegeee kabisa hapo hapo U lipo.Nipo katika dua zangu leo the foxes watangaze ubingwa OT kwa goli 3 pointi 3
Bado mi sijawatoa kwenye ubingwa wa EPL tottenham nahisi watabeba ubingwa kupitia mgongo wa MUFC
Kuna msiba kwenu huko...Sawa mkuu
HahaaaaaKuna msiba kwenu huko...
Kwetu tumeshindwa lakini huku hapana siwezi legea teeeeeehe teeheeShindwaaa na ulegeee kabisa hapo hapo U lipo.
Nipe matokeo basiKwetu umeshindwa lakini huku hapana siwezi legea teeeeeehe teehee
FT Swansea 3 cork, ayew 2Nipe matokeo basi