Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hivi unajisikiaje pale umeandaa vikatuni na vimaneno vya kejeri, mwisho wa siku unakua huna pa kuvipeleka?

Hahahaaaaa kashengo, mcdonaldy tumeshaua huko kaokoteni mzoga.
Itakuwa aibu ya mtengeneza vikatuni hiyo
 
original


Golden boy........
 
Kitu kimoja namsifu LVG ni ujio wa hawa madogo....RASH,LINDGARD,MARTIAL,BOTHWICK,VARELA,MENSAH kwa kweli miaka mitatu ijayo hii timu itakuwa balaa! Carrick tu ndio anapandisha average age ya timu.
 
Yaah Morgan anaenda kutibiwa nje chama anamsubiri penye chaki ila mipira ile hawa vijana hawaiwezi undava mtupu kulikuwa na daud salum(Bruce Lee)salum kabunda(ninja)sasa ninja na Bruce Lee penye soka wapi na wapi?
Source ya jina Ninja unaikumbuka? Alimpa Edward Chumilla miguu miwili ya kifua!
 
Matokeo ya Manchester UTD dhidiya team kubwa

1- Man Utd vs Liverpool 3-1
2- Man utd vs Man City 0-0
3- Man utd VS Chelsea 0-0
3- Arsenal vs Man utd 3-0
5- Liverpool vs Man utd 0-1
6- Man utd vs Arsenal 3-2
7- Chelsea vs Man utd 1-1
8- Man city vs Man Utd 0-1
 
Mechi yake ya kwanza Europa alifunga, mechi yake ya kwanza ya ligi alifunga, derby yake ya kwanza pia kafunga and become the youngest player kufunga kwenye derby ya Manchester, THE FUTURE IS BRIGHT
Dogo ana 'passion' balaa! Derbies zinataka watu kama hawa....wanajua umuhimu wake kutoka moyoni, derby ni zaidi ya three points!
marcus-rashford-manchester-united-premier-league_3434875.jpg
 
Source ya jina Ninja unaikumbuka? Alimpa Edward Chumilla miguu miwili ya kifua!
Yaah almarhum eddo boy pia kabunda jina lake lingine la utani aliitwa msudan yaani duh akisimama yeye na Godwin aswile(scania)palikuwa padogo
 
Back
Top Bottom