xYz07
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,077
- 5,918
Moja nimemjibu shabiki wa man u mwenzangu, nyingine nimemjibu mkaanga sumuUnajitekenya mwenyewe alafu unacheka mwenyewe soma comments zako hapo juu alafu toa ufafanuzi upya kwiiiii kwiiiii au kama vipi zikane kua moja haujaandika wewe maana haueleweki umesimama kwenye jambo gani.
Niko hapa kwa mpemba nakunywa kahawa nikisubiri jibu lako hakika sikai mbali na jamvi hili mpaka nikusikie usirudi mapangoni tu.