Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tupogo banaaa.....nimeshaandaaa Magari tayari msiba utakuja hapo Kwenu muupokeee.
Kutoka kwenye uvungu wa moyo nakuomba uje kwenye kile kichochoro cha Emirates nakusubiri pale tafadhali usinichomeshe mahindi nina mengi ya kuongea nawe usipokuja utautesa mtima wangu.
 
1455519232660.jpg
 
Kwani mkataba umeisha?

Haaahahah huu msiba wenu tu.
everlenk maiti kakataa kusafirishwaaaa inabidi azikwe hapa hapa...hehehehehee
Hahhahahha duhhhh Maiti kaokoka Mochwarii!!!! Maiti huyu balaaa!!!! Haya siye tulishavunja msiba siku nyingi kwahiyo muende majumbani mwenu
 
Kutoka kwenye uvungu wa moyo nakuomba uje kwenye kile kichochoro cha Emirates nakusubiri pale tafadhali usinichomeshe mahindi nina mengi ya kuongea nawe usipokuja utautesa mtima wangu.
Hahhahahha ungenipigia Simu bana maana SMS zilikuwa hazifiki....,,Hongera sana best
 
Asante sana naamini toka j.mosi mpaka leo mtakua mmeanua matanga ila turubai na viti msirudishe naleta kilio hapo OT,duh umenichomesha mahindi na mbu wa vichochoroni si unawajua jana umenitesa sana kama Danny Boi alivyowatesa Leicester City.
 
Angalieni Mr bean alivyo na roho ya korosho pamoja na sisi kumsaidia wachezaji kibao...

Mathieu Debuchy has revealed he was denied a Deadline Day move to Manchester United as Arsenal manager Arsene Wenger did not want to "help out a rival".
 
Sio roho mbaya ndio HAKI ILIVYO alishasema mapema hawezi kuuza tena mchezaji kwa direct opponents maana inam-cost sana hasa lawama na majigambo toka kwa wapinzani najua una mifano kibao na kasema labda itokee situation ambayo hawezi kuizuia ila kama mkopo lazima abane siku AW akikuuzia ujue kababatizwa tu ivi tukimtaka Martial mtatupa maswahiba zetu?
 
Be realistic, u couldnt afford him in France....can you afford him in Manchester? 40m for a teenager is not Arsenal calibre, maybe Barcelona or PSG or Man city or RM
 
Back
Top Bottom