Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,296
Naona umerudi jukwaani kwa fujo......hehhhehhe,....HAMJAZOEA TU?!
Mwisho wa msimu mtakuwa ile nafasi yenu ya sasa, .....wazee wa SABASABA!
Baada ya msimu uliopita hata Man United walianza vizuri sana kwenye game 10 za mwanzo kabla ya kufungwa na Arsenal 3-0 hata mi nilikuwa na matumaini ya ubingwa,sababu ziko nyingi
1.Majeruhi-hii ni sababu kubwa iliyosababisha haya ,tulivyoanza ligi Shaw alikuwa anacheza vizuri na walikuwa wanaelewana sana na Depay tangu alivyoumia Depay nae akapotea.Shaw,Darmian,Rojo,Smalling,Jones,Carick,Martial,Rooney,Fellaini,Young,Valencia wote wanapokezana majeruhi
2.Kutosajili striker,msimu huu tatizo kubwa la timu ni kutotengeneza nafasi na kufunga magoli,LVG alipaswa kusajili striker.Martial anacheza vizuri winga ni mzigo mkubwa kumuachia Rooney kufunga while umri ushamtupa
3.Mfumo wa kocha na substution zake, tatizo la makocha wageni na EPL ni kushindwa kuwa na mifumo ya kubalance kushambulia na ku-defence(Pelegrini,LVG,Klopp).Moja ya weakness kubwa ya LVG ni kufanya sub huwa anachemka sana
4.Wachezaji pia wamekuwa wakicheza chini ya kiwango Rooney,Mata,Fellaini,Herrera,Depay,Lingard ,Scheiderlin wamekuwa wanacheza chini ya kiwango muda mrefu.De Gea,Smalling,Blind ndio wachezaji waliokuwa na consistency msimu huu
Sina hamu wala mengi ya kusema mechi ya jana. Van Gaal needs a sack ASAP. Agrrrrr!
Hello..How are you? Mentor
Tutavuka salama......
Ratiba yako kaiangalie vizuri mna kazi kweli kweli yaani ni mpera mpera mpaka May
Hahahahahaa yaani Leo umefufuka kuona Man U kafungwa nimekutafuta last week nimeweka hadi tangazo hujatokea Leo ghafla bin vuu umeibuka karibu tena dimbani......Kinachoniuma mgonjwa alianza kupata nafuu na leo amekula vizuri tu ila ndio nashangaa ghafla MAUTI yamemkuta msiba wa namna hii unauma sanaaaaaaaa...!
Ila it doesnt MATA what RONDON did to us kwiiii kwiiiii top four inasakwa kwa kibatari sijui kama tutaiona uwiiii.
View attachment 327824
Hauwezi kua uko siriazi aseee lini umenisaka au unataka kukumbusha misiba ya kale enheeeeee.Hahahahahaa yaani Leo umefufuka kuona Man U kafungwa nimekutafuta last week nimeweka hadi tangazo hujatokea Leo ghafla bin vuu umeibuka karibu tena dimbani......
Asante sana my kaka Ila ni vijimambo tu na vina kera kweli kweli lakini naamini tutakaa sawa na tutamaliza salama with a good position.....Poleni kwa kipigo.....
Niliwahi kusema hapa kuwa nyie mtamaliza ligi mkiwa chini ya westham. Hali yenu c nzuri na mna tough fixture inawasuburi.
Pole dada yangu everlenk ingawa kule kwa mchepuko wako mambo ni mazuri. 12 point dhidi ya mahasimu wenu wakuu. Kwa hivi vitoto mnavyochezesha mjiandae kwa vipigo zaidi.
Hahahaha wee nipotezee tu Ila najua matangazo yangu uliyapata usiwe unakimbia waombelezaji wenzako wanapokuja kukupa pole si unaona mi najitahidi kupokea tu pole zako japo chungu next week usinikimbie bana!!!Hauwezi kua uko siriazi aseee lini umenisaka au unataka kukumbusha misiba ya kale enheeeeee.
Mungu fundi aseeee game ya Swansea ile mchana kila nikiingia JF naambiwa sina access ya ku-log in duh nilimaind mbaya duh baada ya matokeo nikasema Asante Mungu niamini mimi JF inakera na ni chungu ukifungwa aseee natamani izingue tu,nitakuwepo mimi siendi mapangoni.Hahahaha wee nipotezee tu Ila najua matangazo yangu uliyapata usiwe unakimbia waombelezaji wenzako wanapokuja kukupa pole si unaona mi najitahidi kupokea tu pole zako japo chungu next week usinikimbie bana!!!
Mmmmmmhhh majanga
Changamoto tu, hizi. Man United naamini itafanya vizuri game zinazokuja
Tutavuka salama......
kwa Thursday mbali sana. just wait and see. nitakufunga tu teh teh teh
usije kudai network hamna tu