Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Hahahaaaaa.....eti hana Mudy ya kazi....imebidi aende kwenye uzinduzi Wa barabara ya East AfricaMwambie safari ya kutafuta top 4 imeanza rasmi tena.
Hahahaaaaa.....eti hana Mudy ya kazi....imebidi aende kwenye uzinduzi Wa barabara ya East AfricaMwambie safari ya kutafuta top 4 imeanza rasmi tena.
Watford walikuwa wanacheza hadi siamini hii ni Watford au timu gani?! Ila timu kubwa ndio huwa inaonekana kwenye mechi kama hizi. Ni sawa na game ya chelsea vs norwichIghalo alinunuliwa na bahasha za man utd...ile mechi mlizidiwa sana tu isee.
Mwana mpotevu....hata kwa Lewis Hamilton sikuoni!Manchester baby!! Yuhuuuu. safi kwa ushindi wa jana.
Manchester baby!! Yuhuuuu. safi kwa ushindi wa jana.
Watford walikuwa wanacheza hadi siamini hii ni Watford au timu gani?! Ila timu kubwa ndio huwa inaonekana kwenye mechi kama hizi. Ni sawa na game ya chelsea vs norwich
Wewe unatakiwa ushukuru tumewafunga hao jamaa, wangetufunga saa hizi ungekuwa usharudi namba 13! Ngoja Everton washinde kiporo chao mrudi nafasi yenu kule ukurasa wa pili na nusu!Tofauti ni kwamba Ighalo alimiss open chances (walau hata ange shoot on target ningeelewa)....he was boughtttttt
Wewe unatakiwa ushukuru tumewafunga hao jamaa, wangetufunga saa hizi ungekuwa usharudi namba 13! Ngoja Everton washinde kiporo chao mrudi nafasi yenu kule ukurasa wa pili na nusu!
Keep dreaming.........I wanted a draw....
Keep dreaming.........
Mwana mpotevu....hata kwa Lewis Hamilton sikuoni!
Hahhah hawa mashabiki walikuwa wapiiiii
hii gem ilinikuta sehemu fulani hivi amazing hahaha nakula utoto. nimeangalia wee nikaona hawafungani. ile nanyanyuka nikalale kitu hicho wavuni usingizi ukakata.Manchester united burudani kabisa
Sipati picha hiyo Jana aisee. Hope ulienjoy sana. Naona Mata aliongeza furaha yakohii gem ilinikuta sehemu fulani hivi amazing hahaha nakula utoto. nimeangalia wee nikaona hawafungani. ile nanyanyuka nikalale kitu hicho wavuni usingizi ukakata.
yani nilidefine matter kwa furaha. kuangalia kwa ase8 nao wamegongwa, mancity nae Kachezea. nililala usingizi mtamu hadi nikaota nipo OTSipati picha hiyo Jana aisee. Hope ulienjoy sana. Naona Mata aliongeza furaha yako
Hahahaha safi sana. Naona roho imesuhuzika kabisa. Wapi Depayyani nilidefine matter kwa furaha. kuangalia kwa ase8 nao wamegongwa, mancity nae Kachezea. nililala usingizi mtamu hadi nikaota nipo OT