Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
yani nilidefine matter kwa furaha. kuangalia kwa ase8 nao wamegongwa, mancity nae Kachezea. nililala usingizi mtamu hadi nikaota nipo OT
kumbe upo msagasumu!!!!!!! miss you
yani nilidefine matter kwa furaha. kuangalia kwa ase8 nao wamegongwa, mancity nae Kachezea. nililala usingizi mtamu hadi nikaota nipo OT
Hahahahaha mtani wangu uteja wetu huwezi kufa....wewe wa thamani sana kwangu kolo atadhibitiwa vizuri tu.....asante mtani ....jana braza Kolo alikuwa kama wa miaka 25 tutamkabidhi kwa Rashford
Hahahahaha mtani wangu uteja wetu huwezi kufa....wewe wa thamani sana kwangu kolo atadhibitiwa vizuri tu.....
Hahahahaha mtani haitotokea.......ukiona tunafanya gegenpressing ya jana nakushauri siku hiyo usiangalie mpira subiri matokeo humu
Hahahahaha mtani haitotokea.......
asante mtani ....jana braza Kolo alikuwa kama wa miaka 25 tutamkabidhi kwa Rashford
nipo msaga sumu mwezangu... hongera bhana kwa kunichapia wale watoto aahahaaaakumbe upo msagasumu!!!!!!! miss you
hahaha kumbe ndio maana sijakuona kwenye kigodoro.Yaani hunizidi mimi nilifurahi jamani mpka nikapokonywa Simu lol
Dogo yuko vizuri balaa.......
Dogo yuko vizuri balaa.......