Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Still tuna wachezaji wazuri sana chipukizi tukipata kocha mzuri hii timu itakuja ku-dominate baada ya miaka 2.Kwa sasa Woodward hapaswi kusajili wachezaji wengi wa bei mbaya

Valera,Shaw,Mensah,Jackson,Depay,Pereira,Martial,Lingard,Rashford,Januzaj wote hawajafika miaka 23 Next season tunahitaji striker kiungo,winga na striker mmoja tu
 
Mkuu Belo umesahau jambo moja na Van Gaal anastahili kuendelea na kazi aliyoianza.
 
Ighalo alinunuliwa na bahasha za man utd...ile mechi mlizidiwa sana tu isee.
 
Back
Top Bottom