Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,940
Tupo aisee through ups and downs..ubize wa maisha tu!
Hahahahaha haya ngoja mfungwe mrejee ubize....mko na nani weekend!??
Tupo aisee through ups and downs..ubize wa maisha tu!
Hahahaha nahisi uliota ushindini wa Manchester united huku Depay kwa mbali.
Mata Mata Mata
sasa hivi asipokuwa makini nammendea RashfordHahahaha safi sana. Naona roho imesuhuzika kabisa. Wapi Depay
Hahahaha yule mtoto. Komaa na wakubwa wenzio. Baki kwa Depay tusasa hivi asipokuwa makini nammendea Rashford
Wes Brom mtasubiri sana.........Hahahahaha haya ngoja mfungwe mrejee ubize....mko na nani weekend!??
Wes Brom mtasubiri sana.........
Hahahahaha haya ngoja mfungwe mrejee ubize....mko na nani weekend!??
Unadhani ile ni majimaji ya Songea?!Ighalo alinunuliwa na bahasha za man utd...ile mechi mlizidiwa sana tu isee.
Bora hata Norwich City wawe mabingwa lakini sio hao washika magobore.Kweli kabisa point 3 ndo za muhimu...... Arsenal wazidi kushindwa na kulegea kabisa......
Yaah hayo ndo maneno never give up msimu haelewiki matokeo ya kushangaza wacha tukaze buti games bado nyingi mashujaa wa ukweli hawakati tamaa.Naikumbuka man u ya SAF mpaka refa anapuliza kipyenga ndo mnajua mmeshindwa .Mimi ni kundi dogo ndani ya MANUTD ambaye anaamini ubingwa haukwepeki tutaubeba tu !
Asante sana Mata yaani Jana nilifurahi sanaMan Utd 1 - Watford 0
Juan Mata 83"
Jana mtani Naona ukajilipizia kisasi kwa adui yako,Hongera sana mtani......naona tunalifukuzia kombe kimya kimya
asante mtani ....jana braza Kolo alikuwa kama wa miaka 25 tutamkabidhi kwa RashfordJana mtani Naona ukajilipizia kisasi kwa adui yako,Hongera sana mtani......
Yaani hunizidi mimi nilifurahi jamani mpka nikapokonywa Simu lolyani nilidefine matter kwa furaha. kuangalia kwa ase8 nao wamegongwa, mancity nae Kachezea. nililala usingizi mtamu hadi nikaota nipo OT