Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tatizo la Vangaalmonia jumapili wameshinda leo gonjwa linarudi tena na kawimbo chetu pia kinajirejea VanGaal out
 
Al Shabab yawaua 24 wakitizama Man U-Arsenal
  • Saa moja iliyopita
Mshirikishe mwenzako
Image caption Al Shabab yawaua 24 wakitizama Man U-Arsenal
Watu 24 wameuawa mjini Baidoa Kusini mwa Somalia wakitizama mechi baina ya Manchester United na Arsenal baada ya shambulizi lililotekelezwa na Al Shabab.

Taarifa za awali zinaeleza kuwa milipuko miwili mikubwa ilitokea, katika mkahawa huo uliokuwa umejaa mashabiki wa mechi kati ya Manchester United na Arsenal.

Miongoni mwa wale waliouawa ni pamoja na afisa wa serikali ya jiji hilo.

Mji wa Baidoa ulitekwa na wapiganaji waislamu wa Al-Shabaab mwaka wa 2008, lakini walitimuliwa mwaka 2012.

Mji huo ulioko takriban kilomita 200 kutoka mji mkuu Mogadishu ni mji wa hivi punde zaidi kushambuliwa na wanamgambo hao wa kiislamu.

Shambulizi la kwanza lilitokea katika mgahawa maarufu unaopendwa na wageni na viongozi wa kisiasa ambao ulishambuliwa kwa gari lililokuwa limetegwa bomu.

Image caption Walionusurika waliokolewa na wanajeshi wa muungano wa Afrika AMISOM.
Walionusurika waliokolewa na wanajeshi wa muungano wa Afrika AMISOM.

Shambulizi hili limetokea muda mchache tu baada ya kukamilika kwa warsha ya viongozi wa mataifa yanayochangia wanajeshi wake katika jeshi la muungano wa Afrika AMISOM.

Siku ya ijumaa watu wengine zaidi ya 20 waliuawa katika mgahawa mwengine kufuatia shambulizi la Al Shabaab.\

Al Shabab yawaua 24 wakitizama Man U-Arsenal - BBC Swahili
Alshabab watakuwa ni washabiki wa Arsenal tu.
 
First 11
De gea, Rojo,Depay,Martial, Mata, Blind, Herrera, Moragan, Varela,Rashford,Fosu-Mensah

Sub
Romero, McNair, lingard, Darmian,Rothwell, Weir,Riley
 
Kikosi kinachoanza leo
 

Attachments

  • IMG-20160302-WA0032.jpg
    IMG-20160302-WA0032.jpg
    37.1 KB · Views: 16
Kikosi cha leo kimejaa vijana

De gea-25
Varela-22
Fosu-Mensah-18
Rojo-25
Blind-25
Herrera-26
Morgan-26
Depay-22
Martial-20
Mata-27
Rashford-18

SUB
Romero- 29
McNair-20
lingard-23
Darmian-26
Rothwell-21
Weir-20
Riley-24
 
Mwaka huu Man U washatumia wachezaji 33..
hivi UK na Europe hakuna limitation ya wachezaji?
 
Back
Top Bottom