Hahahaaaaa sio roho mbaya ila hawatakiwi kuchukua...Duh! Wa nyumba hii mna roho mbayaa....
Hahahaaaaa sio roho mbaya ila hawatakiwi kuchukua...Duh! Wa nyumba hii mna roho mbayaa....
Basi ahsante nilidhani sipo sahihi hiyo timu inakaa miaka 7licha ya vikombe hata vijiko hawachukui.Hilo pepo halitakiw kutoka. Hilo ni pepo zuri kabisa. asernal wachukue ubingwa wapeleke wapi??
Hahaaa nimeipenda hii.....kwa kweli hilo pepo wabaki nalo milele na milele daima.......amenHilo pepo halitakiw kutoka. Hilo ni pepo zuri kabisa. asernal wachukue ubingwa wapeleke wapi??
Nawapa nafasi kubwa Tottenham kuliko LeicesterWadau mi naona mtu mbaya ni Tottenham FC...wanakimbiza mwizi kimya kimya wao hawapewi nafasi ya kuchukua ubingwa wa EPL lakini wao hawakosei wanakusanya point zao now and then...Leicester city wao waishaanza kujipa pressure wenyewe...arsenal wao kipindi hiki ndio huwa wanapoteana while Man city kama vile wailishapoteana zamaani kana kwamba wanasubiri ujio wa Pep thanks for Carling cup...
Ila Tottenham naona kama wanaweza ushangaza ulimwengu
Manchester United could have Anthony Martial, Chris Smalling and Matteo Darmian back to face Watford on Wednesday.
Louis van Gaal gave Premier League debuts to three more players during Sunday's win over Arsenal but has reported good news ahead of Watford's visit to Old Trafford.
Right-back Darmian has missed four games with a shoulder injury, while a similar problem has kept key centre-half Smalling out for two and Martial has missed two with a tight hamstring.
inexperience mkuu....huyo ni ajali dakika yoyoteValera is much better in the right back position or wingback.
Hahhahahha niliwaacha mumy,uwiiiii mumy nimekumiss mpka naumwa aiseeee !!!!!Hahahaaaaa mamie wapumzisheee jaman wanatia huruma
Hata mimi nawapa Spurs coz wameonesha tabia nyingi za bingwa kuliko Leicester.Nawapa nafasi kubwa Tottenham kuliko Leicester
bingwa mtetezi wa FA na sio EPLTaka usitake,Arsenal ndio bingwa wako......
Period
Endelea kujidanganya aiseeTaka usitake,Arsenal ndio bingwa wako......
Period
mamy nimekumiss haswaaa now hutanimis tena am available atlist japo sio kila sikuHahhahahha niliwaacha mumy,uwiiiii mumy nimekumiss mpka naumwa aiseeee !!!!!