JOAQUEM
JF-Expert Member
- Jul 28, 2012
- 2,020
- 1,673
Cech analo jibu sahihi...Mbele ya rushford.
Umezibwa na mwili.
Cech analo jibu sahihi...Mbele ya rushford.
Umezibwa na mwili.
Nakubaliana na wewe kupinga ujio wa Mourinho pale United lakini napenda LVG aondolewe.Tangu mwanzo nimekuwa mpinzani mkubwa wa ujio wa Mourihno kwasababu kuu mbili.
1. Mourihno hana historia ya ku promote wachezaji wa team B mara zote amekuwa ni bingwa wa kununua established players na si kukuza vipaji vya chipukizi.
2. Mfumo wa Mourihno ni kulinda kwanza na si kushambuli hii ni kinyume na utaratibu wa Man Utd soka la kushambulia na kufurahisha washabiki.
Bado napinga ujio wa Mourihno Man Utd kwakuwa ataharibu mipango na mikakati anayotengenza Van Gaal ya muda mrefu.
Akiondoka aje naniNakubaliana na wewe kupinga ujio wa Mourinho pale United lakini napenda LVG aondolewe.
#LVG_OUT
Horny habari ya mjini.......teh teh teh
Moyes or rogersHorny habari ya mjini.......teh teh teh
Huwezi kubahatisha goli tatu weweee.....Unaweza kubahatisha goli 1-0 au 2-1 kwa msaada wa red card!Hongereni kwa kubahatisha!!!
Ila sijui nina roho mbaya!yaani ni bora Leicester City wachukue kombe kuliko hawa tulio wafunga jana jamani niombeeni.Nilikwenda kuwafariji kama binadamu tu.Hatareeee nunua na karata kabisa. Lazma tukesh pale wafiwa sio wa kuachwa peke yao
Rashford huyu dogo kaingia bila hofu ya gem haijalishi kama Arsenal au timu gani..Ni straika aliyekamilika,Anajua kujiposition,Anajua kudribble ball control ball balance...Anajua kutoa Pasi za Mwisho..Na anajua kufunga magoli ya aina yoyote ile.
Hilo pepo halitakiw kutoka. Hilo ni pepo zuri kabisa. asernal wachukue ubingwa wapeleke wapi??Ila sijui nina roho mbaya!yaani ni bora Leicester City wachukue kombe kuliko hawa tulio wafunga jana jamani niombeeni.Nilikwenda kuwafariji kama binadamu tu.
Hilo pepo halitakiw kutoka. Hilo ni pepo zuri kabisa. asernal wachukue ubingwa wapeleke wapi??