Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Mda ndo huu twende sasaSubiri game liishe tukaweke turubai...bado mapema
Mda ndo huu twende sasaSubiri game liishe tukaweke turubai...bado mapema
I promise you tunakufunga na tumekufunga.......pole sana best yangu......I like that....afu siku hizi una majukumu mengiii mambo yakienda mrama teh teh teh, unachungulia jukwaani kupitia kwenye dari
Yaani kufungwa na arsenal huwa naumwa bora hata tufungwe na Norwich City.Kumfunga Arsenal ni utaratibu wetu tuliouzoea
Hamna f.a cup kuna Capital one cup final half time bila bilaFa cup vipi leo?
Hapa lvg vp
Sunderland alipotufunga mimi nilikunywa mvinyo bila wasiwasi, tatizo ni hawa vibaka wanachonga sana. Leo nimefurahi sana nimemaliza mvinyo mbili na kilo mbili za kitimoto bado njaa inauma.Yaani kufungwa na arsenal huwa naumwa bora hata tufungwe na Norwich City.
Inatosha tusharusha mawe kuleMda ndo huu twende sasa
Ndo maana wametulia kuleInatosha tusharusha mawe kule
Kufungwa kubaya !!!!!Ndo maana wametulia kule
Asikwambie MTU. Sikia kwa jirani tuKufungwa kubaya !!!!!