Sasa tulifanyie kiburi cha nini wakati ana uhakika hafukuzwi...![]()
People are believing those stories (of being sacked), and I am very concerned that people are believing it.
Huyu mdachi huyu kweli dawa ya jeuri ni kiburi
Kwaio 7 anaiacha United???!!!
Hilo ndo kombe pekee tunaloweza chukua pale England so haitakiwi kuremba au kupanga vitoto bila sababuHivi hawa derby county ni timu ya kuipangia full mziki au ni hofu ya kufukuzwa?
Furaha ya LVG kubakiadah leo kafuraha kamerudi kidogo