Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,786
- 35,747
United we stand!!!
LVG ameamua kumkabidhi Wenger kwa UK media impe hukumu kama inavyomsakama yeye na ilivyompitishia hukumu Mourinho.Nitarudi baadaye wadau, Nina furaha nahisi nitaandika vibaya
"LVG out" iko likizo kwa sasa!!! Na nnaomba isijirudie kwa sasa...LVG ameamua kumkabidhi Wenger kwa UK media impe hukumu kama inavyomsakama yeye na ilivyompitishia hukumu Mourinho.
Everlenk imepita kule kwa Wacha1 kumpelekea HEDEX?
Rashford ameibuka kuwa mwokozi wa LVG na "Mashetani wekundu"
Vipi "LVG out" imepewa sitisho la muda?
Wewe utakua shabiki wa aseno si bure!!Kuokota dodo chini ya mpera raha sana...ila EPL bado sana La Liga..Bado naamini Barcelona, Real Madrid & Atletico Madrid ndio team bora duniani..Uingereza utumbo mtupu
Hahhahahha LVG out.......aiseeee acha kabisa I thank God maana Leo watu walikuwa wamechimba kaburi kutufukia hatimaye wamezikwa wao......siyo huyo tu kuna kashengo kuna rubaman kuna McDonald Jr naomba uwapelekee salaam zangu za Rambirambi waambie OT tuko pamoja nao katika msiba huu mzito....... Season closed see you next season Arsenal we love youuuuuuuuuu........LVG ameamua kumkabidhi Wenger kwa UK media impe hukumu kama inavyomsakama yeye na ilivyompitishia hukumu Mourinho.
Everlenk imepita kule kwa Wacha1 kumpelekea HEDEX?
Rashford ameibuka kuwa mwokozi wa LVG na "Mashetani wekundu"
Vipi "LVG out" imepewa sitisho la muda?