Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
Two amigos
Hahaaaa asifurahi mchezoKafurahia ushindi.
Oooh nikadhani wenger kamsukuma.....ningemfwata wenger uko alipo.
Ahahaha kelele zote kwa vengerInatosha tusharusha mawe kule
Yaah!yaani kama penye bao tunasema wametakata ile cross yake bao la kwanza ilikuwa tamu sana.Depay nae anaanza kujiamini anapasua tutegemee mazuri kwake coz ana nguvu na speed pia.Umemsahau varela Mkuu
Oh my ex....u dumped me but not man utd....hujambo?Leo nina raha teh teh....
Hahahaaaaa mamie wapumzisheee jaman wanatia hurumaHahhahahha LVG out.......aiseeee acha kabisa I thank God maana Leo watu walikuwa wamechimba kaburi kutufukia hatimaye wamezikwa wao......siyo huyo tu kuna kashengo kuna rubaman kuna McDonald Jr naomba uwapelekee salaam zangu za Rambirambi waambie OT tuko pamoja nao katika msiba huu mzito....... Season closed see you next season Arsenal we love youuuuuuuuuu........
Man united ipo kila mahali my ex ila wewe khaaa mpaka nikutafute na rada. Mm poa hofu kwakoOh my ex....u dumped me but not man utd....hujambo?
Unajuaga kunipa moyo....mimi mzima tu just missing youMan united ipo kila mahali my ex ila wewe khaaa mpaka nikutafute na rada. Mm poa hofu kwako
Hongera sanaLeo nina raha teh teh....
Me too.... Ha Ha naelekea nyumba ya msiba kutoa poleUnajuaga kunipa moyo....mimi mzima tu just missing you
Asante Th NameHongera sana
Nakufuata huko.........nilikuwa huko nimetoka kidogo nimekuja gengeni kununua ndizi na pilipili kwa ajili ya pilau. si unajua mpunga wa msibani?!Me too.... Ha Ha naelekea nyumba ya msiba kutoa pole
Hatareeee nunua na karata kabisa. Lazma tukesh pale wafiwa sio wa kuachwa peke yaoNakufuata huko.........nilikuwa huko nimetoka kidogo nimekuja gengeni kununua ndizi na pilipili kwa ajili ya pilau. si unajua mpunga wa msibani?!