Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwa mpira waliocheza jana Barcelona na Zarangoza wale vibonde wa Emirates safari imefika ukingoni.......Sorry Kumbe hapa kuna Man utd! Rafael ajiangalie sana kuna kila dalili kupata kadi ya pili ya njano
 
...ha ha ha, shukran Yakhe...msiba wetu sote huu, msijione wapweke, Manda keshaanza mkufuru Mungu...LOL!

Hamna shaka mkuu ndio hivyo....ila mkuu manda asipanic watoto wanaweza kubadili matokeo kipindi cha pili na tucheze tu mpira wa kutulia....
 
Chelsea is back in the title race!

How Man U let the chance to slip is beyond me!
 
Mkuu ushabiki umekushinda Loser fools wameingia na gia nyingine leo wamewapania from the word go ... .... .... ... Jitahidini mtoe draw kama Gunners jana khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee chacha njomba leo utachekea c h o o n i


Naam Mkuu, L'pool wameipania sana hii mechi ya leo maana wanajua ushindi kwao utakuwa ni morale booster ya hali ya juu ili kumaliza vizuri ngwe yao iliyobaki. Haya kipindi cha pili kinaanza in few minutes itakuwa raha sana L'pool wakiongeza mengine mawili ili kukata ngebe ya SAF na manure boys.
 
Ati waungwana BIA gani nikinywa apa ntaona dakika zinakwenda fastafasta?, hii juicy naona hainfai tena.
 
hard to defend the performance...maisha yangu yote ya kusupport man utd sijawahi kuona timu ikicheza with such a slow tempo and no sense of urgency.

We can be optimistic lakini game ndio imeisha, i dont see us coming out of this shambolic display unless something miraculous happen which i highly doubt.

Carragher should have been off for that atrocious foul, and nani's reaction ilikuwa disgraceful. Ngoja nirudi zangu kulala sasa.


...mnh, this is so sad kwakweli,....pole sana kaka.
Labda hii picha ya 1999 itakukumbusha your past "come backs"...

MUFC.jpg

...Cheer up, it's only agame for Christ Sake...ha ha ha!
 
Tunayasubiri magoli yenu ya ndondokela pia khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee





Vipi cha Rafael? Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee[/QUOTE


Mkuu yatapatikana tu.....]
 
Mbu
Acha kunisingizia ustaadh! bado nko na matumaini ya 75% kuondoka na droo apa na asilimia 50% ya kushinda.
 
Karibu sana mkuu.....usipotee baada ya break

Vipi mkuu mbona unaleta Ngebe mimi nipo hapa tangu alifu ... .... ... kama unaniona hapa ujue nina time kwenye hii game .... .... khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee huwa sikimbii vimburu .... ....
 
ushabiki pembeni yani ule upuuzi alioufanya carragher alafu gerrard kuja kustomp on him sio sportmanship kabisa.. Angekuwa amefanya mchezaji wa man utd vile na kuget away with it everybody and their mama would have been on it till kingdom come.

Wacha1 kuamka 5 am alafu timu ina perform kama iko mazoezini lazima uzalendo ukushinde.
 
hapa nimeshika kitovu ili man asipate kitu kabisa....maana mchezo ukiisha hivi basi nina kilo mbili ...tumewekana na Chief accountant wetu.....juzi kwa chelsea nilikuwa hivi hivi.........
 
Ati waungwana BIA gani nikinywa apa ntaona dakika zinakwenda fastafasta?, hii juicy naona hainfai tena.

Mkuu hamna haja ya bia...hapa ni kukaa nao vizuri tu hawa...wataachia tu goli lao.....
 

Ati waungwana BIA gani nikinywa apa ntaona dakika zinakwenda fastafasta?, hii juicy naona hainfai tena.

Bia-Bingwa.jpg


"Ze Bingwa!"...kunywa hiyo, ....mawasiliano yakirudi, ushindi ni wako!
 
Chance go begging for manure ..... ..... what a chance .... ....... ....50 min second half .......
 
Back
Top Bottom