Hapa si Kwema nkamu tunalia tu wenzako....Dada yangu kwema hapa?
Afadhali Liverpool walichukua CL 2005 na FA na Capital Cup miaka inayo fuatia!Nyie hata ngao ya hisani sidhaniGod forbid(in nigerian voice)yaani mara hii mnaanza kutuona kama liverpool?no tutarudi kuanzia msimu ujao.
Haya mtabiri .......lakini tupogo tutafika tuuu......
Liverpool mbali sana, hata wao wenyewe walienda miaka tisa bila chochote,God forbid(in nigerian voice)yaani mara hii mnaanza kutuona kama liverpool?no tutarudi kuanzia msimu ujao.
Nami naomba niungwe tu br.. 0754055806Oky ngoja niwape namba yako.
pole kipenzi...kumbe mechi ilisha kwa kufungwa...Kushinda na kushindwa yote matokeo. Japo inauma ila hamna kukata tamaa
#GGGMU
Asante sana pole na wew....pole kipenzi...kumbe mechi ilisha kwa kufungwa...
nliondoka dakika ya 60
Poa.Nami naomba niungwe tu br.. 0754055806
Tutarudi tu ndugu tena mapema sana hii ndio United wala hatuna khofu.Afadhali Liverpool walichukua CL 2005 na FA na Capital Cup miaka inayo fuatia!Nyie hata ngao ya hisani sidhani
Moyes alishatupa ngao ya hisani.Afadhali Liverpool walichukua CL 2005 na FA na Capital Cup miaka inayo fuatia!Nyie hata ngao ya hisani sidhani
Jamani sasa mpaka niende nyumba ya jirani wakati mhusika upo......
Kweli imebamba mkuuNimebuni "Mansheeder Ubwegeted" naona inabamba
![]()
![]()
![]()
![]()