Kweli yani nahisi wanataka ifike hali tuwe tukishangilia pale tuu itakapofikia ukiiona scoreline baada ya mpira kwisha..!!1-1......huyu LVG asipofukuzwa soon sijui tutamaliza wa ngapi?!
Aliyetoka sio Mata??Kwa mara ya kwanza naona LvG anafanya sub yenye kueleweka. Leo Herrera alikuwa anazingua sana.
"UKWELI UNAO-UMA"Manchester United Injured Starting XI
Herrera alitoka na Morgan kuingia. Mata alitoka na Perreira kuingia..Aliyetoka sio Mata??