Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

kw sasa cna koment mpk ya mechi zetu mpk nisikie Louis Van Gaal kafukuzw ndo ntaanza kuijadili team yetu pamoja na pafomans yake
 
Kuna misiba miwili so marehemu watazikwa pamoja, kesho tutasafirisha msiba mpka Emirates na Huko ndo mazishi yatafanyika na tutakuwa na tanga Ndugu ya siku tatu.
jipe moyo kwani ndo kilichobakia

kuishi kwa matumaini
 
Kuna misiba miwili so marehemu watazikwa pamoja, kesho tutasafirisha msiba mpka Emirates na Huko ndo mazishi yatafanyika na tutakuwa na tanga Ndugu ya siku tatu.
Haaaa haaaa mweeee pole mfiwa naona umevurugwa hata maamuzi hauna kaka yako Wayne Rooney rasmi kasema top four kwao ndoto,kesho namalizia kukiua kile kidogo changu pale gheto alafu unafuata wewe naomba Darmian asipone acheze mjomba Love kwiii kwiiii mnanipa raha nyie
 
Wakata mkaa
ImageUploadedByJamiiForums1455389152.840203.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1455389180.251792.jpg
 
Wakuu. sina cha kuficha
Mansheeder Ubwegeted inaboa sana...Mimi ni shabiki wa kutupwa kawaida yangu msimu mzima sikosi ht mechi 1 ya Man utd ht iwe ya capital one cup lazima niwepo ndani ya kibanda umiza...
Lakini msimu huu uvumilivu ulinishinda mapema kabisa kwani tangu November sijaingia kabisa kibanda umiza kucheki mambo ya kibwege ...naangaliaga tu game live kwenye simu(live stream). Na sitegemei kwenda kucheki game hadi msimu uishe !!!...Kwa Man Ubwegeted hii hata kubet tu ni ugonjwa wa moyo
***Man Ubwegeted hii ni majanga***
 
Yaani weekend yote imekuwa vururu vururu.....,
Kweli ndugu yangu maana kama tuna homa za vipindi vile mchana bukheri wa afya usiku tunatetemeka.Pana haja ya kutafuta mtu mwingine enzi za babu tulikuwa kuna waqt timu anapanga mpaka mnachanganyikiwa mnaiona mbovu but ndoo tunachukua.
Sasa huyu leo ukikumbuka kauza chicharito mara the twins mara Di maria unabaki kumtukana kimoyomoyo maana tuliisha zoea kucheka tu.
 
Haaaa haaaa mweeee pole mfiwa naona umevurugwa hata maamuzi hauna kaka yako Wayne Rooney rasmi kasema top four kwao ndoto,kesho namalizia kukiua kile kidogo changu pale gheto alafu unafuata wewe naomba Darmian asipone acheze mjomba Love kwiii kwiiii mnanipa raha nyie
Tupogo banaaa.....nimeshaandaaa Magari tayari msiba utakuja hapo Kwenu muupokeee.
 
Back
Top Bottom