Two more games...
Wewe jitutumue tu...kama kawaida utalikimbia jukwaa muda si mrefu.
Wewe jitutumue tu...kama kawaida utalikimbia jukwaa muda si mrefu.
Hivi jana mlishinda? SMHNa kweli...wakati nashangilia ubingwa wa UCL 2015/2016 sitakuwa a muda wa kuja huku kwa wakaanga sumu.
Hivi jana mlishinda? SMH
kabla ya kutupa pole ww n timu gan kwnz.View attachment 323794
Poleni nasikia Rooney na Darmian wamejisalimisha wodi namba 8 na watakua huko kwa takribani wiki kadhaa naona matundu yote mwilini yanaziba sijui mtapumua kutumia nini waungwana.
Rooney out six weeksMechi tano zijazo....bado tunaweza maliza ndani ya top four....sikupenda jinsi Rooney na LvG walivyoongea kwa unyonge juu ya chances za kumaliza top four...
#Believe
Duh kabla ya kupewa pole unataka kujua mimi timu gani?kwiiii kwiiii kwa iyo umu umeanzisha utaratibu wa kujitambulisha inawezekana mimi au wewe mmoja wetu ni mgeni kwenye jukwaa hili.kabla ya kutupa pole ww n timu gan kwnz.