Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwiiiii kwiiiiii nasema ivi Barmaid hakatai bia wewe mpe yoyote ile atakunywa iwe safari au ndovu iwe ya moto au baridi muhimu bia,top 4 inaota mbawa taratibuuuuu hawa Sunderland sio watu wazuri
 
Namba ii apa 0754055806, mwenyee group la wasap Manchester United aniunge, naomben sana jaman
 
Wafiwa tunaomba ratiba ya mazishi basi na kama tunasafirisha au tunazika hapahapa semeni mapema naona mnalia tu na muda unaenda,majonzi ya nini wakati marehemu kaugua kwa muda mrefu.
Picha imeji-upload tu
ImageUploadedByJamiiForums1455380299.232494.jpg
 
Wafiwa tunaomba ratiba ya mazishi basi na kama tunasafirisha au tunazika hapahapa semeni mapema naona mnalia tu na muda unaenda,majonzi ya nini wakati marehemu kaugua kwa muda mrefu.
Picha imeji-upload tuView attachment 323036
Kuna misiba miwili so marehemu watazikwa pamoja, kesho tutasafirisha msiba mpka Emirates na Huko ndo mazishi yatafanyika na tutakuwa na tanga Ndugu ya siku tatu.
 
Nakusoma vyema mkuu
Hapo hatujaongelea kizazibalichozalisha akiwa porto
Allbwe need is mourinho then thebrest itafuata
Angalia kwa mfanongame ya leo hata sunderland inatusumbya hv?elovijii kaiturn man u kua timu ya kawaida sana
Our season is over, tujaribu msimu ujao
 
Back
Top Bottom