Hahahahahaha Mbu naona jamaa wameshakimbia kijiweni...wote wamenuna ile mbaya LOL!
...ha ha ha, ....na mpira wenyewe ushageuka uwanja wa masumbwi!
Rafael yellow ..... ........ laponea chupu chupu .... ...... .....50 minutes ..... ....... halftime now ...... .... haya nitarudi baada ya break .... pilisi wapo kwenye touch line chacha khe khe kheeeeee hii yote Manure wasishindwe wameanza vimbwanga khe khe kheeeeeeeeeeeee
</p>Si ndiyo walivyo hao manure! wakishapigwa tundu basi wanaanzisha ubabe maana mara nyingi wanajua fika Waamuzi watawabeba.
Hawa wetu, goli lao na ndondokela tu, 2nd half tukitulia, tunawachapa.
hard to defend the performance...maisha yangu yote ya kusupport man utd sijawahi kuona timu ikicheza with such a slow tempo and no sense of urgency.
We can be optimistic lakini game ndio imeisha, i dont see us coming out of this shambolic display unless something miraculous happen which i highly doubt.
Carragher should have been off for that atrocious foul, and nani's reaction ilikuwa disgraceful. Ngoja nirudi zangu kulala sasa.
Waaaaat a f8ck!Mbu naona umekuja mkuu karibu sana mkuu.....Mpira wa leo sio mzuri kwetu,naamini tutapoteza tu na tukubali matokeo
Hahaha Manure wanalo leo!
Hawa wetu, goli lao na ndondokelatu, 2nd half tukitulia, tunawachapa.
Hahahaha!
NANI analia!, ila kile kiatu kilikuwa balaaa!