Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hahahahahahaaaaaaaa................SUAREZ ni zaidi ya Nouma........HUreeeeeeee
 
Kazi ipooo...apa nimezungukwa na wadada Liva, Arsenols na Man City na wale ambao hawaipend Manure kwa sbb ya Rio basi leo nahisi ntatiwa hadi vidole machoni. Mpira bana..agrrrrrrrrrrr!
 
Wacha ngebe wewe goli safi sana hilo khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee rudisheni tu sasa chacha njomba Loser fools wamewakamia hawa naona khe khe kheeeeeeeeeeeeeee Kona hizo zitawaumiza leo pengo la Vidic hiloooooo 37 minutes and counting .... ..... ..
 
Kazi ipooo...apa nimezungukwa na wadada Liva, Arsenols na Man City na wale ambao hawaipend Manure kwa sbb ya Rio basi leo nahisi ntatiwa hadi vidole machoni. Mpira bana..agrrrrrrrrrrr!

Pole sana kaka....jipe moyo
 
Hamjamboni jamboni humu? hahahahahahahahah msikimbie tu jukwaa LOL! Leo yanawanyeshea lakini mpira ni dakika 90.
 
Mambo si mambo wakuu wa Manure vipi leo ndio hali halisi dakika 39 chacha ..... ....... Wine Romney hajaonekana hapa ..... .... ...... ...... khe khe kheeeeeeeeeeeee
 
Ni vizuri kujipa moyo.....ila hakuna la pili kama la kwanza halipo..........Safari ni safari

Umeona???? sasa kama wasingefunga la kwanza hili ndo lingekuwa la kwanza.......Na bado
 
Ehhh??

...kwanza hodi humu...vipi tena jamani???!
Suarez the man from Uruguay is tormenting Smalling...

Dirk Kuyt keshaona nyavu mara mbili...mnh? haya...

...:loco:
 
Ehhh??

...kwanza hodi humu...vipi tena jamani???!
Suarez the man from Uruguay is tormenting Smalling...

Dirk Kuyt keshaona nyavu mara mbili...mnh? haya...

...:loco:

Hahahahahaha Mbu naona jamaa wameshakimbia kijiweni...wote wamenuna ile mbaya LOL!
 
....haya sasa.! mshaanza mambo yenu na Refa!
I hope refa hatatetereka...
 
Loser fools wanafanya double marking wakipoteza mpira Gigs amejaribu kufanya vitu vyake lakini hawa Loser fools wapo ngangari kweli leo Wine Romney kazibwa kabisa hata Nani haonekani Nani acting now khe khe khe chaos now khe khe kheeeeeeeeeeeee jamani mkifungwa msianze viroja .... ..... ..... ..... garragher kapata kadi ya njano hapa na Golikipa kaja kuambulia kadi naye (Van der sar ) kaifuata mwenyewe ..... .....
 
Ila ile **** ya Karaga ilikuwa mbaya kaka, lets be fair.
 
Back
Top Bottom