xYz07
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,077
- 5,918
Mkuu kwa hiyo sasa tupo pamoja tunavosema van gaal kafeli and he should go?Tatizo lake moja tu: yupo too rigid. #ManUnited is used to dynamic football, win or lose, that's how the team plays. Sasa huyu bwana anawafanya wachezaji wawe kama watoto wanaojifunza soka; yaani wa-stick kwenye positions zao tu mwanzo mwisho.
Ndiyo ilikuwa vigumu kuwazuia United kukufunga; kwani hawakuwa predictable kama ilivyo sasa. Dynamic playing style inafanya timu pinzani isifahamu mbinu gani itumie kujilinda.
Inauma, lakini maamuzi magumu sasa ni muda muafaka.
#Let'sdothisUnited