Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Huyu Lvg nuksi tuTeeeeheee teeeehe LVG forever
Huyu Lvg nuksi tuTeeeeheee teeeehe LVG forever
Bwana wewe unataka LVG leo hii aondoke tenaTatizo lake moja tu: yupo too rigid. #ManUnited is used to dynamic football, win or lose, that's how the team plays. Sasa huyu bwana anawafanya wachezaji wawe kama watoto wanaojifunza soka; yaani wa-stick kwenye positions zao tu mwanzo mwisho.
Ndiyo ilikuwa vigumu kuwazuia United kukufunga; kwani hawakuwa predictable kama ilivyo sasa. Dynamic playing style inafanya timu pinzani isifahamu mbinu gani itumie kujilinda.
Inauma, lakini maamuzi magumu sasa ni muda muafaka.
#Let'sdothisUnited
Hahahaha mpira unadunda ujue. Asante ndugu
Na unadunda kweli hadi ukamkuta Austin teeehe teeehe ukimuona everlenk na ndugu yangu @cuteb wape poleHuyu Lvg nuksi tu
BadoHawajamfukuza tu?
Cha ajabu ni nini? Hapo mwanzo nimesema sasa inaniwia vigumu kutetea yanayoendelea kwenye timu. Nipo tayari kwa uamuzi utaochukuliwa na bodi ya timu. Wao ndiyo wanaelewa zaidi.Bwana wewe unataka LVG leo hii aondoke tena
Ningekua na uwezo ningerusha jiwe kwenye TV nimuumize yule Van Girl angejua tunavyoteseka kitaa angejiuzulu tu![]()
Good job boys .... ..... .
![]()
Wine Romney mpira umemshinda amekalia ubishi tu chacha ... ..
One shot on target is not good enough to start an urgument.
Teeeeehe teeeeeehe bora mimi kuliko wewe teeeeeeeehe wakishinda game moja hawa wanaona washinda na tittle kabisaWahurumie wenzako bana khe khe khe khe khe khe Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Tehe tehe.....Cha ajabu ni nini? Hapo mwanzo nimesema sasa inaniwia vigumu kutetea yanayoendelea kwenye timu. Nipo tayari kwa uamuzi utaochukuliwa na bodi ya timu. Wao ndiyo wanaelewa zaidi.
Fewest chances created in the Premier League this season:
West Brom (163)
Norwich (180)
Sunderland (181)
MUFC (182)
[ Squawka ]