Dah huyu jamaa inabidi aondoke tuu
Dah leo wasipomfukuzaLVG alidai apewe miezi 3 kuleta mabadiliko.. Na kweli kayaleta katumia £200+M kuleta staili ya Abajalo
Dah leo wasipomfukuza
Tunafungwa home tena
Maajabu ya mwaka huu tutashuhudia timu mbili mpya kutoka Uingereza kwenye Champions League..Enough is enough he has to go today