Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tumevuna tulichostaili....hatuna team...hatuna kocha...hatuna malengo NA mechi
Yaan tupotupo tu uwanjani km ball boys
NI AIBU
 
Kocha gan hana hata moral ya ushindi? Akikaa ndo kakaa ana mafail Ka mkandaras😉😉😉
 
Kaka hatuambiani Kama nyimbo yenu mpya inaitwa Buuuu! Buuuu! Buuuu! Ile Glory Glory ya zamani sindio?
Utd siku hizi unaweza kuhisi unaangalia mechi ya kettering town fc.... aondoke tena leo... ninaangalia siku nzima channel 401 kuangalia breaking news kutoka old traford
 
Sipendi kubadilisha badilisha makocha ila kwa jinsi Utd inavyocheza.... bila kumung'unya maneno LVG kashindwa kazi Old Traford.... afukuzwe tuu
Tatizo lake moja tu: yupo too rigid. #ManUnited is used to dynamic football, win or lose, that's how the team plays. Sasa huyu bwana anawafanya wachezaji wawe kama watoto wanaojifunza soka; yaani wa-stick kwenye positions zao tu mwanzo mwisho.

Ndiyo ilikuwa vigumu kuwazuia United kukufunga; kwani hawakuwa predictable kama ilivyo sasa. Dynamic playing style inafanya timu pinzani isifahamu mbinu gani itumie kujilinda.

Inauma, lakini maamuzi magumu sasa ni muda muafaka.

#Let'sdothisUnited
 
Hebu LVG atuache kidogo.. maana hakuna namna.. hii hali ya kuvumilia vipigo na anaezingua anajulikana wacha tu ikome.. aende tu mazee.. phylosophy kwa muda huu ni kazi bure..
 
1453568801503.jpg
 
Ndugu zangu huu msiba tunazika hapa hapa nyumbani au marehemu tunamsafirisha kwa mumewe,mimba ya goli 1 mbaya sana kwiiii kwiiiii duh chizi karogwa tena.
 
Khaaaaa! LvG give us a break, ndo nin hiki kila siku...maeeee!!!
 
Back
Top Bottom