Manchester United (Red Devils) | Special Thread

REAL MADRID ni klabu bora ulimwenguni usiifananishe na za mchangani kama MAN U tafadhali
Wew unapotaja klab bora na kubwa duniani usipotaja Man u utakiwa chizi wewe...halafu toka kwenye uzi wetu ww sio man u dam dam unanusanusa tu
 
Manchester United have recalled Adnan Januzaj from his season-long loan at Borussia Dortmund.
 
Ndg bado unakwepa historia afu unarudi kwenye historia.. Unazungumzia dhahania ya udikteta kwa Madrid dhidi ya UCL hizo ni fikra tu au ndo tuamini kubebwa kwenu MAN U ndani ya EPL enzi za Alex Ferg ambae alipewa hiyo heshima ya Sir kwa mtazamo wa Waingereza ambao wanaongoza kwa misifa ya kijinga? Kubali tu kuwa umeshatanguliwa na huwezi kumkaribia MADRID mpaka siku umeme utakaposambazwa kwa wireless.

Wewe unachosha watu tu...Sasa knighthood inatolewa na Queen/King wa UK sasa unategemea itolewe kwa mtazamo wa kiitaliano/kispanishi au???!!!
 
Manchester United have recalled Adnan Januzaj from his season-long loan at Borussia Dortmund.
Hata Will Keane naye karudishwa kutoka Preston. Naona LvG anataka kuongeza attacking options. Hivi James Wilson yupo kwa mkopo naye? Dogo ako poa sana yule pia.
 
Hivi yupo kwa mkopo au alikuwa majeruhi? Mara ya mwisho nakumbuka kama alicheza mechi moja hivi kati ya kombe la Capital au Makundi UEFA akaumia.... Th Name Bavaria Belo JOAQUEM RRONDO CHIEF MKWAWA eti Dogo Wilson yupo wapi????
 
Yaani Mbona nikimquote mtu haitokei aggggrrrrrrrrrrrrrr!!!!!!
 
Hivi yupo kwa mkopo au alikuwa majeruhi? Mara ya mwisho nakumbuka kama alicheza mechi moja hivi kati ya kombe la Capital au Makundi UEFA akaumia.... Th Name Bavaria Belo JOAQUEM RRONDO CHIEF MKWAWA eti Dogo Wilson yupo wapi????
Hata Will Keane naye karudishwa kutoka Preston. Naona LvG anataka kuongeza attacking options. Hivi James Wilson yupo kwa mkopo naye? Dogo ako poa sana yule pia.
Yah, Wilson yupo kwa mkopo Brighton ila anaweza akaitwa muda wowote tukimuhitaji kwa mujibu wa makubaliano, kile kipindi Rooney kaumia alitaka aitwe sijajua ilikuaje ikaishia hewani.

Ila muda wwte tukimuhitaji anarudi
 
Asante sana my kaka,hivi kipindi kile alichoumia ulikuwa msimu huu au umepita kumbukumbu hazipo kabisa........... halafu sasahivi JF inaboa sana yaani unaona Avatar yangu imehamia kwa Nzi hapo ulipoquote....
 
Sio kwako tu Dada yangu ni kwa wengi mpaka unashangaa
 
Asante sana my kaka,hivi kipindi kile alichoumia ulikuwa msimu huu au umepita kumbukumbu hazipo kabisa........... halafu sasahivi JF inaboa sana yaani unaona Avatar yangu imehamia kwa Nzi hapo ulipoquote....
Ulikua ni msimu huu sister nakumbuka game ya mwisho kucheza ilikua ni kwenye C1C dhidi ya Middlesbrough ndio aliyoumia mwezi wa kumi kama sikosei alipopona ndio akapelekwa huko,

Nick Powell anapelekwa kwa mkopo Nottingham Forrest ila sidhani kama atarudi maana mkataba wake unaisha mwishoni mwa msimu huu, na sioni haja na dalili zozote za Ku extend mkataba nae.
 
toka aondoke porto mourinho ni miaka 12 au unaweza sema 11. 2004-2016 na haya ni mafanikio yake ya ligi
-chelsea mara 3
-inter mara 1
-madrid mara 1

so miaka 12 makombe 5 ni record ya kawaida compare na fergie rekodi yake ya 1992 hadi 2012/2013 ambapo makombe ya ligi ni zaidi ya nusu kama kumbukumbu zangu ni sahihi kabeba 13

so fanya simple math tupe jawabu

13/21 na 5/12 ipi kubwa?

unahamu uone man u akimfunga madrid? usijali hamu yako nitaikidhi angalia video hii hapa chini
ronaldo, zidane, carlos, raul na mastaa wote ndani wakachezea kichapo traford

na juzi juzi hapa ashley young aliwafanya vibaya sijui unashabikia madrid ipi mpaka hujui kama man u wanawafunga.

-moratta katoka kwenu, nusu fainali akawapiga na akawatoa halafu mkamtaka akawachomolea au huyu moratta hajacheza madrid?

-alonso nae akawaacha solemba akaenda bayern huyu nae vipi?

siku zote madrid walikuwa ni shimo la takataka la man u mchezaji akigombana na fergie anauzwa madrid
-beckham
-van nistelrooy
-heinze etc

mchezaji pekee ambae mlimchukua kwa force ni ronaldo tena baada ya kuvunja rekodi ya dunia.

hawa ndio malegend wetu wa karibuni hebu nitajie nani alikuwa anaitamani madrid na haitaki man u?

-Eric cantona
-ryan giggs
-paul scholes
-best
-irwin
-ferdinand
-Rooney
etc

na mfano mZuri ni rooney mumemtaka hadi basi lakini kabaki man u kwa hiari yake mwenyewe.

wachezaji wanaotamani kucheza madrid/barca ni wa america kusini ila wengi wa ulaya hawana time na timu kama hizo. wapo epl/bundesliga/seria a nk

Unakata majani kwa Bulldozer

vijana wengi wamevamia JF sports na kujifanya wanajuua....mpira wengine wameanza late 2000's hapa

Lakini kwa Huu uchambuzi sijui kama Atarudi tena
 
toka aondoke porto mourinho ni miaka 12 au unaweza sema 11. 2004-2016 na haya ni mafanikio yake ya ligi
-chelsea mara 3
-inter mara 1
-madrid mara 1

so miaka 12 makombe 5 ni record ya kawaida compare na fergie rekodi yake ya 1992 hadi 2012/2013 ambapo makombe ya ligi ni zaidi ya nusu kama kumbukumbu zangu ni sahihi kabeba 13

so fanya simple math tupe jawabu

13/21 na 5/12 ipi kubwa?

unahamu uone man u akimfunga madrid? usijali hamu yako nitaikidhi angalia video hii hapa chini
ronaldo, zidane, carlos, raul na mastaa wote ndani wakachezea kichapo traford

na juzi juzi hapa ashley young aliwafanya vibaya sijui unashabikia madrid ipi mpaka hujui kama man u wanawafunga.

-moratta katoka kwenu, nusu fainali akawapiga na akawatoa halafu mkamtaka akawachomolea au huyu moratta hajacheza madrid?

-alonso nae akawaacha solemba akaenda bayern huyu nae vipi?

siku zote madrid walikuwa ni shimo la takataka la man u mchezaji akigombana na fergie anauzwa madrid
-beckham
-van nistelrooy
-heinze etc

mchezaji pekee ambae mlimchukua kwa force ni ronaldo tena baada ya kuvunja rekodi ya dunia.

hawa ndio malegend wetu wa karibuni hebu nitajie nani alikuwa anaitamani madrid na haitaki man u?

-Eric cantona
-ryan giggs
-paul scholes
-best
-irwin
-ferdinand
-Rooney
etc

na mfano mZuri ni rooney mumemtaka hadi basi lakini kabaki man u kwa hiari yake mwenyewe.

wachezaji wanaotamani kucheza madrid/barca ni wa america kusini ila wengi wa ulaya hawana time na timu kama hizo. wapo epl/bundesliga/seria a nk

Shikamoo Chief-Mkwawa
 
OFFICIAL: JANUZAJ RETURNS TO MANCHESTER UNITED
Louis van Gaal has terminated the Belgian's loan at Borussia Dortmund after he played just 160 minutes in the Bundesliga, and he could even feature against Sheffield United
Adnan Januzaj has returned to
Manchester United after Borussia Dortmund agreed to terminate his season-long loan with the Bundesliga club.
The 20-year-old only made 12 appearances for Dortmund after joining on a temporary deal at the end of August, racking up just 160 minutes of league action.
As reported by Goal , United were uhappy with Januzaj's lack of playing time and decided to bring him back to Old Trafford as Louis van Gaal looks to refresh his attacking options in January.
On Thursday, the club tweeted: "[Manchester United] confirms Adnan Januzaj will rejoin the squad, after Borussia Dortmund agreed to cancel his loan deal."
As well as bringing the Belgian youngster back to the club, Van Gaal has also made Lazio star Felipe Anderson a priority target - though a £35 million deal has stalled over a bonuses dispute.
Januzaj could even feature against Sheffield United in the FA Cup on Saturday, as long as he is registered to play before 5pm on Friday.
Given that he has not played since December 10, however, it is perhaps more likely that Januzaj will be eased back to full fitness first and could make an appearance for the Under-21s on Monday against Reading.
READ MORE | Ighalo open to Man Utd move
At the end of November, Van Gaal revealed that he had warned Januzaj about the risks involved with a move to Dortmund.
“I said in advance that’s a big risk, because you have to compete with other players of a higher level and that’s not so easy,” said the Dutchman.
“It’s the same as at Manchester United. He has to compete with higher-level players. I want him to play all the matches, and that’s why I wanted to play him in the Premier League, but he chose Borussia Dortmund.”
 
Asante sana my kaka,hivi kipindi kile alichoumia ulikuwa msimu huu au umepita kumbukumbu hazipo kabisa........... halafu sasahivi JF inaboa sana yaani unaona Avatar yangu imehamia kwa Nzi hapo ulipoquote....
Inaboa kweli aisee. Nashangaa avatar yangu ipo kwa wengine duuuh

Teeehe teehe avatar kufanana siyo kosa acheni stress za LVG (joke)
 
Back
Top Bottom