Manchester United (Red Devils) | Special Thread

fellaini ndio anavuruga timu, we angalia siku akianza timu inakuwa haina free flowing football...ila ndio LVG huyo sijui huwa anafikiria nini?
Ulimsikia Scholesy alivyosema? Ni kama nilivyosema jana, LVG anawabana wachezaji kwenye positions na kuwafanya wasiwe dynamic. Mata ukimpanga kwenye right wing na kutegemea atacheza vizuri kwa ku-stick kwenye position utamwonea bure. Vivyo hivyo kwa Herrera, Martial na hata Rooney. Sasa tukija kwa Fellaini, jana alikuwa akicheza nafasi ya Morgan. Sasa kama defensive midfielder unategemea angefanya nini? Fellaini is more useful akiwa kwenye front attacking line; kwa kutumia kimo chake.
 
Ok....route one football
 
Ok....route one football
Sidhani kama Fellaini kucheza kwenye front attacking line lazima kumanishe 'route one footie'. Anaweza kuwa muhimu kwa urefu wake kwenye kona na crosses kutoka kwenye wings. Haamanishi ati kuwa na Fellaini mbele basi ni lazima mipira iwe inabutuliwa tu kwenda mbele ili Fellaini aitulize. Licha ya kutumika kwenye kona na crosses, anaweza kutumika pia pale game tactics zinavyo-go wrong na timu inahitaji ushindi kwa lazima. Hapo urefu wake utahusika pia.

Na sidhani kama katika mechi ambazo Fellaini amecheza United imekuwa ikitumia hiyo 'route one football'.

Kama unamkumbuka Jan Koller, alikuwa 6.7 alivyokuwa Dortmund na hata kwenye timu ya taifa Czech, haikumaanisha timu icheze 'route one football'. Lakini timu ilitumia advantages ya physique yake. Na yeye mwenyewe alifahamu sana kutumia urefu wake. Fellaini yeye ana futi 6 na inchi 4.5 tu. Na hata hachukuliwi kama mmoja wa wachezaji warefu sana katika soka. Crouch nafikiri analingana na Koller au kapitwa inchi 1. Na unafahamu alivyokuwa akitumiwa na timu alizocheza. Na wala siyo kwa njia ya 'route one football'.
 
Niwazi timu yetu haina uwezo wa kubeba kikombe chochote kwa kipindi hiki, starting with body language ya mpaka ya wachezaje, we can olny put up a fight and struggle to gain a top 4 spot, otherwise hakuna miracles aisse kama mshabiki inauma sana.
wenzetu wanafanya mabadiriko mapema sana wanapoaana dalili za kupotea sisi tumekalia kwenye masela ambayo yashapitwa na wakati, kipindi hiki mpira ni biashara matokeo mabovu si tu yanaumiza mashabiki yanaumiza mpk mauzo ya team, RM knows that ndio maana hawapotezi muda wakiona dalili hawitaji prove beyond reasonable doubt, sasa sisi wa OT mpk tushindwe shiriki ECL ndio tuchukue hatua
 
Chief, hivi nitajie returns za Real kutokana na kufukuzafukuza huko toka waachane na Del Bosque mwaka 2003. Zaidi ya UCL 1, La Liga 3 na kombe la mfalme. Hapo wamekuwa na makocha 12 toka Del Bosque atimuliwe. Ndiyo unataka hivi?
 
Real Madrid are sick in the head,sielewi nini kiliwapata hadi wakamtimua Vicente De Bosque kocha ambaye aliwapa kila kitu(soka la kuburudisha na mataji),walimfukuza kwavile eti alimwambia Beckham kwamba ni lazima athibitishe ubora wake la sivyo ataishia benchi kwani namba 7 ilishapata wenyewe pale Madrid (Luis Figo)wakamtimua na nafasi yake kuchukuliwa na Claudio Capello ambaye naye hakudumu akatimuliwa licha ya kuipa Madrid kombe la ligi sababu ikiwa ni soka lisilo vutia,nafasi yake ikajazwa na aliyekuwa msaidizi wa Ferguson, Mreno Felipe Quiroz ambaye naye hakudumu.
Chief, hivi nitajie returns za Real kutokana na kufukuzafukuza huko toka waachane na Del Bosque mwaka 2003. Zaidi ya UCL 1, La Liga 3 na kombe la mfalme. Hapo wamekuwa na makocha 12 toka Del Bosque atimuliwe. Ndiyo unataka hivi?
 
Chief, hivi nitajie returns za Real kutokana na kufukuzafukuza huko toka waachane na Del Bosque mwaka 2003. Zaidi ya UCL 1, La Liga 3 na kombe la mfalme. Hapo wamekuwa na makocha 12 toka Del Bosque atimuliwe. Ndiyo unataka hivi?

Fans tunachojua baada ya Stress mambo yasipoenda vizuri ni option mbili huja kichwani (na wala sio Solution)

MOJA: fukuza meneja haraka

PILI: Ingia sokoni Jaza wachezaji hata wakiwa Overated We leta matokeo yapatikane

Hii inaitwa Stress ya mashabiki na hakuna lingine

from Arsenal Fan
 
Inategemeana hayo matokeo yanasababishwa na nani? ( viwango vya wachezaji au kocha)

Ni wazi kabisa matokeo tunayoyapata utd ni tatzo la kocha, na sio kwamba hajui but huwa sielewi anafanya makusudi au vipi, hadi sasa wachezaji wenye uhakika wa kuanza ni de gea, smalling, blind, Rooney na martial hawa wengine muda wwte wanaweza kuwekwa benchi au kuanza,

Sasa huu Mwaka wake wa pili bado haelewi starting eleven yake nani alaumiwe?

Pia ipo wazi wachezaji wetu wengi wanakua chini ya kiwango pia hawana consistency sababu ya kubadilishiwa namba kila mechi, tumewakomalia sana madrid kwamba wanabadilisha makocha bila mafanikio lakin tunamsahau abromovic, Barcelona na hata Bayern makocha wanakuja wanawapa ubingwa wanaondoka, ni Manchester pekee ambapo kocha anapewa mkataba mzima kuitengeneza timu, akiondoka van gaal hata giggs akianza tutaambiwa apewe muda anatengeneza timu.
 
Bayern, Barcelona na Chelsea huwezi kuwafananisha na Manchester utd, kwa sababu hawakubadilisha Entire Team

hizo timu hazijafumua vikosi vyao kama Nyie

ebu kaa chini uangalie Timu yako miaka mitatu iliyopita yaani 2013 na sasa 2016, una timu mpya kabisa na wachezaji wengi wageni....Huu mlundikano wa wachezaji wengi wapya UNAHITAJI TIME KUJEL mzee hakuna muujiza lazima watu wakae pamoja muda mrefu wazoeane.....

Ndani ya misimu miwili mmnunua Almost timu nzima afu unataka wapate matokeo kama Timu ya Fergie ambayo ilikuwa inaongeza mchezaji mmoja au wawili kwa Dirisha

LVG kwa mtizamo wangu anakosa Kikosi cha kwanza kwa kuwa ana new faces nyingi anaaangaika kupanga na kupangua amuanzishe nani na nani kila mechi.....(hii inamgarimu sana) kwa kuwa nyuma yake kuna Presha kubwa ya matokeo

pili ana limit personal skill za wachezaji (hii ni weakness yake kubwa) wachezaji hawako Huru....huu ni wakati ambao LVG lazima abaki ali sort tatizo lake aache timu ikiwa Stable msimu wake wa mwisho ukiisha next season

Issue ya Giggs, akipewa timu lazima apewe Time pia....Hakuna kitu kigumu kama Kufundisha tena Modern Football hii iliyojaa Presha ya matokeo

Neville Brothers wamecheza game 6 kule valencia wameshinda moja....unaweza kuthubutu kusema WAFUKUZWE? na hao hao walipokuwa Pundits walikuwa Mgongoni mwa LVG wakidhani ni Kazi rahisi kuleta matokeo
 
Ahsante mkuu tumerudi kwenye kilio changu kile kile cha kila Siku, kwann aruhusu wachezaji wengi kuondoka kwa mkupuo tena wengine kwa kuwa force? ( RvP, chicha, Rafael etc) hawa wote kawalazimisha kuondoka.

Kaleta sura mpya ambazo kwanza hazina uzoefu na ligi ( kwa maana hyo lazima wapate muda wa Kusoma mazingira), wakati wakongwe wangekuwepo wangeweza kutumika kama back up wakati wengine wakiendelea kusoma mazingira,

Pia chukua kikosi cha spurs cha 2012/13 compare na cha saiz utaona kuwa karibia nao wote ni sura mpya then angalia mpira tunaocheza sisi na wanaocheza wao ( ardhi na mbingu), na Mwaka alioenda pochettino spurs ndio Mwaka aliokuja van gaal utd
 
Hilo sio la kumlaumu LVG peke yake hapa mna victimize tu

lawama ziende kwa Grazers pamoja na Woodward wote LENGO LAO KUU NI KUREJESHA UPYA FEAR FACTOR pale OLD TRAFOLD

sishangai kuona mlikuwa na msululu wa Big names mkihusishwa nazo kama Ramos, Benzema, Hummels na sio siri mlikuwa mko radhi kuwabeba maana Bajeti ya £250 mil kwa Usajili tu maana yake ni kufufua Kilichoondoka

Moyes alirithi kikosi cha Fergie kikamshinda mkala sana Vipigo na rekodi zikavunjwa, timu pinzani zikaacha kuwaogopa kabisa (Fear factor yenu) yoote ikaishia na Moyes

LVG kosa lake ni baadhi ya wachezaji aliwaondoa kwa makosa notably RVP, CHICHA,RAFAEL, EVRA na NANI (inamlazimu kutengeneza upya na sio kazi rahisi)

Spurs wachezaji wake 80% wametoka Academy yao

Eric Dier, lee mason, Danny Rose, Harry Kane wote hawa ni zao la Academy wako spurs kitambo sana

ongeza wazoefu kama Hugo Lloris, Henrikssen,Lamela, Bentaleb, Chadli ambao 2012-2013 walinunuliwa baada ya Kuuzwa BALE kwenda Real madrid

wapya kabisa ni Tobby Heiderweid, Delle Alli na Yule mkorea na Black flani walimtoa France

So spurs wana stability mzee
 
Ahsante mkuu tumerudi kwenye kilio changu kile kile cha kila Siku, kwann aruhusu wachezaji wengi kuondoka kwa mkupuo tena wengine kwa kuwa force? ( RvP, chicha, Rafael etc) hawa wote kawalazimisha kuondoka.

Kaleta sura mpya ambazo kwanza hazina uzoefu na ligi ( kwa maana hyo lazima wapate muda wa Kusoma mazingira), wakati wakongwe wangekuwepo wangeweza kutumika kama back up wakati wengine wakiendelea kusoma mazingira,

Pia chukua kikosi cha spurs cha 2012/13 compare na cha saiz utaona kuwa karibia nao wote ni sura mpya then angalia mpira tunaocheza sisi na wanaocheza wao ( ardhi na mbingu), na Mwaka alioenda pochettino spurs ndio Mwaka aliokuja van gaal utd
Wakati wa kina RVP,Rafael,Chicharito ulishapita kumbuka hawa wote walikuwepo msimu ambao Moyes alikuwepo na still hawakusaidia,LVG alaumiwe kwa kushindwa kuwatumia hawa wachezaji aliowanunua sio wabovu ni mfumo wake ndio una matatizo

Since SAF ameondoka katika wachezaji wote walioondoka Evra tu ndio amefanikiwa huko alipoenda wengi wamechemsha
Na Evra ndio alikuwa senior player ambaye alikuwa kikosi cha kwanza muda mrefu
 
Hata Pochetino alivyotua Spurs aliwaondoa Adebayor,Fazio,Soldado,Capoue,Dawson,Lennon,Paulinho,Kaboul,Stambouli hii iliwasaidia sana kuwapa nafasi chipukizi kwa sasa Spurs ndio timu yenye wachezaji wengi chipukizi wa kiingereza.Philosophy ya LVG haiwezi kufanya kazi kwenye EPL, tuna wachezaji wazuri sana(DDG,Smalling,Shaw,Darmian,Herrera,Mata,Martial,Bastian,Pereira,Valera,Morgan) kocha anashindwa kuwatumia vizuri
 
Huyu kijana huwa ananifurahisha sana kwanini LVG hampi nafasi? Natamani Sana nimuone mara kwa mara akicheza
 
VAN GAAL ON MUTV

In his interview with MUTV, van Gaal has confirmed Schweinsteiger is unlikely to
face Newcastle tomorrow night: "Bastian is injured, that we know," he explained.
"We have seen that because he could not
move. In spite of playing more or less with 10 and a half men, we beat Sheffield United and we were very happy with that."

JANUZAJ NOT READY FOR U21S
The manager has also told MUTV thatAdnan Januzaj , who has returned from a loan spell at Borussia Dortmund, will not
play for the Under-21s tonight as
originally planned. "We have
reconsidered and we think we have to build him up for the game and not to risk too much, by putting him in a match."

VAN GAAL'S PRESS CONFERENCE:
At the beginning of his press conference at the Aon Training Complex, van Gaal was asked if he felt United’s playing style during the 1-0 win over Sheffield United
was acceptable? “I think that you always have to take into account how your opponent is playing. And our opponent was defending with 10 players behind the ball.”

WHY DID FANS LEAVE EARLY?
Quizzed on fans leaving the stadium before the final whistle, when the score was still 0-0, the manager said: “I think the fans have supported our team and it
is not an easy time now. The fans were there also. How many stadiums were like our stadium – it was full, I think? You can mention how they leave but you can also mention how they come to this stadium for the FA Cup match.”
More on the fans leaving early on
Saturday: “It could also be because of the traffic that they left the stadium a few minutes earlier. There are many reasons
to leave a stadium at the last minute. Me, as a manager, when I was looking at matches to analyse our opponent, I have done that [left early] also in the beginning of my years as a manager. Then I would leave the stadium five minutes before the end. You never know what is the reason.”

BOSS: WE MUST BEAT NEWCASTLE

Ahead of facing Newcastle, the boss said: “We have won two times in a row and maybe it shall give us a boost. You never know. But now we are playing away, it's
also different and Newcastle United is playing very well I think. Ok, I see their game against Arsenal and they played very well. But they didn't win and that's the most important thing in football. I don't hope that they win against us. We have to beat them.”

UNRUFFLED BY SCHOLES CRITICISM
Van Gaal was also asked to comment on criticism from United legend Paul Scholes,
who claimed at the weekend that the manager and his players looked bored against the Blades at Old Trafford. “What do I have to do now, to react to Paul Scholes?” the boss replied with a smirk.
“Do you want that?”

VAN GAAL UNDERSTOOD IRONIC CHEERS
The manager was also asked if the loud cheers that followed Memphis Depay’s late shot against the Blades were perhaps
ironic due to a lack of shooting, to which he replied: “Yes, I can understand that because it was a fact that we were not shooting too much or were not able to shoot at the goal so much. That they were
ironic I can imagine. Because it was our first shot after 20 minutes.”

Lvg on squad needing fixing: "It is a process, we have won two games in a row." ( so kisha sahau tulienda mechi nane bila ushindi?)

THE FINAL QUESTION
Does van Gaal think more about the opposition than United? “No, I am not more concerned about the opposition, it's part of the job. When I have a conversation with you, I have to feel what you want to ask. And that is the same thing with an opponent. You have to
know what they want, how they play and then you can help your players. But I do think that I am more thinking of how we want to attack, how we have to improve
and of course the ball speed of the passes.”
 
Last edited:
Moja ya makosa makubwa tuliyoyafanya.....Nyangema wetu yuleeeeeeeee
 
Attachments

  • 1452545657107.jpg
    1452545657107.jpg
    18.7 KB · Views: 26
Louis van Gaal has admitted his side have bored even him at times this season but insists Manchester United "cannot always play fantastic football".

Van Gaal's tactics have once again fallen under criticism from former players such as Paul Scholes after United laboured to a 1-0 win at home to Sheffield United in the FA Cup third round on Saturday evening.

They have scored just seven goals in their last 10 games at Old Trafford, and notched just two first-half goals at home all season, but Van Gaal insists you have to be "happy" as a United fan after two successive victories.

Louis van Gaal admits Manchester United bore and anger him at times
 
Moja ya makosa makubwa tuliyoyafanya.....Nyangema wetu yuleeeeeeeee
Alilazimisha kuondoka na contract yake ilipokuwa imefikia hamna namna ilibidi tu aondoke....moja ya mambo yaliyomuuma sana Sir Alex ni kuondoka kwa huyu dogo.
 
Back
Top Bottom