Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wew unapotaja klab bora na kubwa duniani usipotaja Man u utakiwa chizi wewe...halafu toka kwenye uzi wetu ww sio man u dam dam unanusanusa tu
wewe ndo M/KITI wa machizi sasa..Mi siwezi kuwa shabiki wa timu yenu ya Tandale mchamgani hiyo
 
toka aondoke porto mourinho ni miaka 12 au unaweza sema 11. 2004-2016 na haya ni mafanikio yake ya ligi
-chelsea mara 3
-inter mara 1
-madrid mara 1

so miaka 12 makombe 5 ni record ya kawaida compare na fergie rekodi yake ya 1992 hadi 2012/2013 ambapo makombe ya ligi ni zaidi ya nusu kama kumbukumbu zangu ni sahihi kabeba 13

so fanya simple math tupe jawabu

13/21 na 5/12 ipi kubwa?

unahamu uone man u akimfunga madrid? usijali hamu yako nitaikidhi angalia video hii hapa chini
ronaldo, zidane, carlos, raul na mastaa wote ndani wakachezea kichapo traford

na juzi juzi hapa ashley young aliwafanya vibaya sijui unashabikia madrid ipi mpaka hujui kama man u wanawafunga.

-moratta katoka kwenu, nusu fainali akawapiga na akawatoa halafu mkamtaka akawachomolea au huyu moratta hajacheza madrid?

-alonso nae akawaacha solemba akaenda bayern huyu nae vipi?

siku zote madrid walikuwa ni shimo la takataka la man u mchezaji akigombana na fergie anauzwa madrid
-beckham
-van nistelrooy
-heinze etc

mchezaji pekee ambae mlimchukua kwa force ni ronaldo tena baada ya kuvunja rekodi ya dunia.

hawa ndio malegend wetu wa karibuni hebu nitajie nani alikuwa anaitamani madrid na haitaki man u?

-Eric cantona
-ryan giggs
-paul scholes
-best
-irwin
-ferdinand
-Rooney
etc

na mfano mZuri ni rooney mumemtaka hadi basi lakini kabaki man u kwa hiari yake mwenyewe.

wachezaji wanaotamani kucheza madrid/barca ni wa america kusini ila wengi wa ulaya hawana time na timu kama hizo. wapo epl/bundesliga/seria a nk

All-Time Club World Ranking,
Top-100
Pos (Pos) Club (city)
highest position (year) - first entry - last
points, last trophy, last major trophy
number of: primary majors, secondary
majors, minor trophies, bonuses
obtained (international-domestic)
Nation Region Points
1 (1)
Real Madrid CF
1st (1958) - 1905 - 2015, 2014, 2014
(14-32), (2-19), (5-11), (204-89)
ESP EUR 10,386
2 (2)
FC Barcelona
2nd (2006) - 1910 - 2015, 2015, 2015
(7-23), (7-27), (6-17), (211-90)
ESP EUR 8,586
3 (3)
FC Bayern München
3rd (2013) - 1932 - 2015, 2015, 2015
(8-25), (2-17), (1-11), (173-60)
GER EUR 7,462
4 (4)
AC Milan (Milano)
2nd (1995) - 1901 - 2014, 2011, 2011
(11-18), (2-5), (8-6), (146-84)
ITA EUR 6,689
5 (5)
Juventus (Torino)
2nd (1997) - 1905 - 2015, 2015, 2015
(4-31), (4-10), (2-6), (174-88)
ITA EUR 6,483
6 (6)
Liverpool
2nd (1984) - 1894 - 2015, 2012, 2006
(5-18), (3-7), (3-23), (140-101)
ENG EUR 6,024
7 (7)
Boca Juniors (Buenos Aires)
7th (2007) - 1919 - 2015, 2012, 2012
(9-30), (3-2), (6-0), (120-91)
ARG AMS 5,983
8 (8)
Manchester United
8th (2009) - 1892 - 2014, 2013, 2013
(5-20), (1-11), (1-24), (115-93)
ENG EUR 5,673
9 (9)
AFC Ajax Amsterdam
5th (1999) - 1917 - 2015, 2014, 2014
(6-33), (2-18), (4-8), (139-50)
NED EUR 5,494
10 (10)
Peñarol (Montevideo)
2nd (1966) - 1900 - 2014, 2013, 2013
(8-49), (0-0), (2-0), (122-41)
URU AMS 5,191
11 (11)
Independiente (Avellaneda)
2nd (1978) - 1931 - 2014, 2010, 2010
(9-14), (3-0), (6-0), (77-84)
ARG AMS 5,038
12 (12)
Internazionale (Milano)
6th (1965) - 1910 - 2015, 2011, 2011
(6-18), (3-7), (0-5), (162-87)
ITA EUR 4,979
13 (13)
River Plate (Buenos Aires)
10th (2000) - 1931 - 2015, 2014, 2014
(3-34), (2-0), (7-0), (129-90)
ARG AMS 4,845
14 (14)
SL Benfica (Lisboa)
3rd (1964) - 1930 - 2015, 2015, 2015
(2-34), (0-25), (1-10), (163-50)
POR EUR 4,649
15 (15)
São Paulo Futebol Clube (SP)
14th (2012) - 1931 - 2015, 2012, 2012
(6-28), (2-0), (3-1), (103-43)
jichungulie uko wapi hapo..maana maneno mengiii halafu hamna la kutishia hata nyau.
 
7th (2007) - 1919 - 2015, 201inagal 0), (3-2), (6-0), (120-91)

Sasa we pimbi mbona hueleweki,

Umesema man u inazifunga timu za mchangani, wamekuwekea hadi video ya hyo over rated timu yenu wakati inagalagazwa, tena ile ndio ilikua galactico haswaa sio hii ya vilema akina pepe

Umesema wachezaji wanang'ang'ania Madrid umeulizwa kuhusu morata, na alonso umekimbia

Hata kisoka for the past ten yrs man u inamafanikio kuliko Madrid, jiulize kwann Adidas wamekubali kulipa deal la £75mill wakati nyie mnalipwa £45 mill, umekimbilia Google walichokusaidia ni hilo li table ila umeshindwa kulitolea maelezo.

Madrid brand yake ndio Kubwa kwa sasa lakini sio mafanikio na Barcelona wataendelea kuwa dominate hadi mjue mpira sio pesa
 
Anthony Martial has been named the ninth
most influential figure in French football.
[L'Equipe]

#Utd effect
 
sijaelewa kabisa ulichoandika hebu tupe source huenda ulikotoa inaeleweka zaidi
 
Anthony Martial has been named the ninth
most influential figure in French football.
[L'Equipe]

#Utd effect

pia martial sasa hivi amepanda ni mchezaji wa 11 ghali zaidi duniani ana thamani ya euro milioni 77

Screen-Shot-2016-01-06-at-1.07.16-PM.png
 
pia martial sasa hivi amepanda ni mchezaji wa 11 ghali zaidi duniani ana thamani ya euro milioni 77

Screen-Shot-2016-01-06-at-1.07.16-PM.png
Mweeeeeee wasije wakakaiba ka Antony ketu...... halafu kuna list hiyo ya teenagers please nakuomba na yenyewe uiweke tena hapa..mm
 
pia martial sasa hivi amepanda ni mchezaji wa 11 ghali zaidi duniani ana thamani ya euro milioni 77

Screen-Shot-2016-01-06-at-1.07.16-PM.png

Chifu, ni macho yangu ama? Simwoni Wazza kwenye hilo list!!

Nimejaribu kuchekichanzo cha hiyo list: kuna 'kampuni' inaitwa CIES Football Observatory, naona ndiyo wamekuja na hiyo list. Tatizo ninaloliona ni vigezo vilivyotumika katika kupata thamani za hao wachezaji: transfer fees, performances and personal attributes. Angalau kigezo cha kwanza kinaweza kuleta maana katika monetary values; lakini cha pili na tatu, vimekaa too abstract in monetary terms. Sijui walitumia njia zipi kuweka monetary value ya mchezaji based on performances na personal attributes. Uthamani wa mtu unapimwa in monetary terms. Sasa hiyo kampuni ilichokifanya naona ni maajabu. Nimejaribu kutafuta njia walizotumia kuweka monetary values kwenye players' performance na attributes, sijaona.

Kwa akili ya kawaida tu, yaani hiyo list doesn't make sense at all. Sterling is more valuable than Suarez, really? Hata Harry Kane, how is he more valuable than Suarez? Hazard more valuable than Ronaldo? Yaani Hazard is more valuable than the most highest paid footballer? Pengine wana maana tofauti ya mchezaji kuwa valuable. Kwa mshahara anaochukua Rooney pale OT, yaani hata hayumo kwenye list?!? Yaani Gareth Bale, the most expensive footballer (in transfer fee terms) yupo namba 17?

Mh! Ni ngumu kumeza.
 
age kaka,

we unatoa ngapi kwa waza na age yake na kiwango chake cha sasa?

sterling, kane, martial na uliowataja wanaweza cheza miaka 10 ijayo.

mimi nisingeshangaa pia kuona neymar yupo on top sababu bado mdogo na tayari anakaribia level za ronaldo na messi
 
Adnan Januzaj is back with Manchester United after his loan deal with Borussia Dortmund was cancelled.

United sent the Belgium forward on a season-long loan to the German club in August in order for him to gain more experience, but he has started just three matches - all in the Europa League - and his only playing time in the Bundesliga came off the substitutes' bench.

Adnan Januzaj returns to Manchester United from Dortmund
 
Mkuu huyu dogo anakuaga na maamuzi ya ajabu ajabu bila kufikiria, nakumbuka kabla hajaenda BVB kuna timu kama villa na Sunderland zilikua zinamtaka na van gaal alimshauri atafute timu EPL ili kupata uzoefu, muda wa kucheza na iwe rahisi kujua maendeleo yake lakini yy alikomalia Dortmund ili akacheze Europa, kasahau Dortmund kuna akina reus na Mkhitariya.

Nadhani hakujifunza alipojikoroga kuchagua hata NT,
 
age kaka,

we unatoa ngapi kwa waza na age yake na kiwango chake cha sasa?

sterling, kane, martial na uliowataja wanaweza cheza miaka 10 ijayo.

mimi nisingeshangaa pia kuona neymar yupo on top sababu bado mdogo na tayari anakaribia level za ronaldo na messi

Pengine hatujuaelewana.

Nimeweka vile vigezo vitatu ambavyo hao jamaa waliokuja na hiyo list walivitumia. Sijaona kama umri kilikuwa ni kigezo. Walitumia transfer fees, performances na personal attributes. Kwa hivi tu pamoja na makandokando kwenye vigezo viwili vya mwisho, hiyo list haina maana yoyote. Bale ni the most expensive player kwa kuzingatia transfer fees. Suarez ni wa tatu baada ya Cristiano. Halafu hawa wanapitwaje na akina Kane, Sterling na Griezmann?!?

Tatizo langu pia lipo katika njia walizotumia kuweka monetary values za wachezaji kwa kutumia personal attributes na performances.
 
Sasa we pimbi mbona hueleweki,

Umesema man u inazifunga timu za mchangani, wamekuwekea hadi video ya hyo over rated timu yenu wakati inagalagazwa, tena ile ndio ilikua galactico haswaa sio hii ya vilema akina pepe

Umesema wachezaji wanang'ang'ania Madrid umeulizwa kuhusu morata, na alonso umekimbia

Hata kisoka for the past ten yrs man u inamafanikio kuliko Madrid, jiulize kwann Adidas wamekubali kulipa deal la £75mill wakati nyie mnalipwa £45 mill, umekimbilia Google walichokusaidia ni hilo li table ila umeshindwa kulitolea maelezo.

Madrid brand yake ndio Kubwa kwa sasa lakini sio mafanikio na Barcelona wataendelea kuwa dominate hadi mjue mpira sio pesa
Brand kuwa kubwa ndio ubora na mafanikio ya kampuni/taasisi, huwezi tenganisha hicho kitu na kuyumba kupo pia. Kaclip kamoja ka video ka kutubahatisha sio kwamba mmetuzidi ubora hatukuwa kwenye fomu hiyo mechi. Kuhusu Morata ni kisirani tu na hana uhakika wa namba kama wengineo ila kumoyo inamuuma sana umeelewa wewe popoma sugu.
 
Back
Top Bottom