kaka nimepitia blog nyingi za man u leo za wazawa kila ninapokwenda madrid ni kituko na kichekesho sisi tu ndio tunaona wamefanya la maana.
kitendo cha kumfukuza kocha aliowapa uefa (anceloti) na kumpa benitez tayari inaonesha ni jinsi gani madrid ilivyo joke club.
na kumtoa benitez na kumpa zidane mtu ambae hata experience hana pia ni bahati nasibu wanacheza.
hebu tuangalie timua timua ya madrid ina faida gani?
mabingwa la liga karibuni
-2008 ni barca
-2009 ni barca
-2010 ni barca
-2011 ni madrid
-2012 ni barca
-2013 ni atletico
-2014 ni barca
so miaka 7 iliopita wana ubingwa mmoja tu wa ligi. kwa ulinganishaji man united toka 2008 kabeba mara 4.
uefa hivi karibuni
kwa zaidi ya miaka 10 iliopita madrid kabeba mara 1 tu uefa na kafika fainali hio hio moja.
kwa ulinganishaji man u kafika finali 3 na kombe 1, barca finali 4 na kombe 4, bayern fainali 3 kombe 1.
hivyo madrid finali 1 compare na kina barca, bayern na man u ni kichekesho.
hivyo sioni cha kusifia hapo hao jamaa policy yao ni mbovu tu.
Real Madrid hiyo timua timua haijawahi kuwasaidia pamoja na kutumia hela nyingi kwenye usajiliWasio penda utan ktk suala zima la kupata matokeo uwanjan….
Mkuu sio kwamba tunasema walichokifanya Madrid ni sahihi ila angalia tofauti kati ya hizi club, benitez hakuwa na matokeo mabaya kiivo Madrid ila staili ya uchezaji wa Madrid ulibadilika, walikua wanaangalia zaidi matokeo kuliko entertainment.kaka nimepitia blog nyingi za man u leo za wazawa kila ninapokwenda madrid ni kituko na kichekesho sisi tu ndio tunaona wamefanya la maana.
kitendo cha kumfukuza kocha aliowapa uefa (anceloti) na kumpa benitez tayari inaonesha ni jinsi gani madrid ilivyo joke club.
na kumtoa benitez na kumpa zidane mtu ambae hata experience hana pia ni bahati nasibu wanacheza.
hebu tuangalie timua timua ya madrid ina faida gani?
mabingwa la liga karibuni
-2008 ni barca
-2009 ni barca
-2010 ni barca
-2011 ni madrid
-2012 ni barca
-2013 ni atletico
-2014 ni barca
so miaka 7 iliopita wana ubingwa mmoja tu wa ligi. kwa ulinganishaji man united toka 2008 kabeba mara 4.
uefa hivi karibuni
kwa zaidi ya miaka 10 iliopita madrid kabeba mara 1 tu uefa na kafika fainali hio hio moja.
kwa ulinganishaji man u kafika finali 3 na kombe 1, barca finali 4 na kombe 4, bayern fainali 3 kombe 1.
hivyo madrid finali 1 compare na kina barca, bayern na man u ni kichekesho.
hivyo sioni cha kusifia hapo hao jamaa policy yao ni mbovu tu.
REAL MADRID ni klabu bora ulimwenguni usiifananishe na za mchangani kama MAN U tafadhali
Mkuu sio kwamba tunasema walichokifanya Madrid ni sahihi ila angalia tofauti kati ya hizi club, benitez hakuwa na matokeo mabaya kiivo Madrid ila staili ya uchezaji wa Madrid ulibadilika, walikua wanaangalia zaidi matokeo kuliko entertainment.
Ukiangalia Madrid ndio iliyofunga magoli mengi kwa msimu huu (47), ipo point nne nyuma ya anaeongoza ligi, na point mbili nyuma ya mahasimu wao Barca, still wapo UCL sio matokeo mabayaa kiivo,
Msimu uliopita tunaweza kusema labda kweli van gaal alikua anaijenga timu, msimu huu tulianza vizuri tukaongoza hadi ligi na kuwa point nne juu ya anaeongoza sasa, tukaanza kutolewa C1C, tukaja uefa, tukaondolewa juu ya msimamo, tukaondolewa top four, mwezi mzima wa 12 hatujaonja ushindi, tumepata ushindi baada ya kuenda mechi nane bila ushindi, ( D4 L4) tupo nyuma kwa point Tisa kwa yule anaeongoza ligi, na point tatu kwa yule aliye top four na GD zaidi ya kumi, so kwa lolote lile hata tukishinda mechi ijayo na spurs akafungwa hatuwezi kuenda top four unless tumfunge Newcastle goli zaidi ya kumi,
Licha ya kwamba watu tunawacheka Madrid kwa maamuzi yao ya kukurupuka itabidi tukubali ukweli kwamba hata sisi pia tunachekwa kwa kutumia pesa nyiiingi lakin tuna compete na timu kama west ham, spurs na CPFC, badala ya kusonga mbele tunarudi nyuma,sidhani kama mafanikio aliyoyapata Carlo Madrid angekua utd kuna mtu angekua ana lalamika.
Ukweli mchungu we are now a laughing stoke, every body is laughing at us
Hii ndio tofauti, mashabiki wa livapuli wakiwa wanalia lia kwamba wanapata matokeo mabaya sababu wachezaji waliopo sio wa JK upande wetu tuna lalamika kwamba tunapata matokeo mabaya sababu wachezaji wengi wameondoka.hii issue ya man u kutumia hela hebu tuaiangalie kwa jicho la pili.
hela tumetumia kuziba mapengo na sio kuimprove timu, kwanini nasema hivi? hebu angalia hii list
beki yote ya man u hatunayo tena
-namba mbili rafaeli
-namba tatu evra
-beki kati fedinand
-beki kati vidic
pia kuna sub kama alexander butner pia kasepa.
waliosajiliwa ni kuziba mapengo tu na top target za kuimprove tumezikosa kama vile ramos.
midfield kabaki carrick
fletcher, cleverly, anderson, giggs, nani, scholes na niliowasahau hawapo tena na sisi
striker rooney
welbeck, rvp na chicha hawapo.
hivyo ukiangalia wachezaji kama 15 hawapo unafikiri tutazibaje mapengo? usajili wetu ni wa wachezaji wa kawaida tu morgan, blind, rojo, herrera, shaw, darmian etc wote hawa si wachezaji decisive wa kubadili matokeo. na kwa idadi tuliyotumia kusajili wachezaji 10 na zaidi ni ndogo top player siku hizi ni 50+
transfer target za lvg
lvg alitupromise striker ila hakuja na target zake zote hazikuja hivyo huwezi kumpa lawama yeye 100% inabidi nusu ya lawama woodward nayeye apate hawa ni baadhi
-strootman (lvg alimtaka sana)
-muller (japo mgumu kumpata hatujajaribu)
-robben (hana namba bayern sasa hivi)
-ramos (uwezekano wa kuja ulikuwepo)
-bale (kila siku rumors haziishi)
-etc
ukiangalia hao hapo juu wote ni watu wabadilisha matokeo ya mechi. lakini hatuna hata mmoja tumebaki kuwa na team players tu. ukimtoa martial waliobakiwa wote wanategemea perfomance ya timu kubadili matokeo.
Hii ndio tofauti, mashabiki wa livapuli wakiwa wanalia lia kwamba wanapata matokeo mabaya sababu wachezaji waliopo sio wa JK upande wetu tuna lalamika kwamba tunapata matokeo mabaya sababu wachezaji wengi wameondoka.
Wachezaji pekee waliondoka kwa sababu inayoeleweka ni:
Scholes
Vidic
Ferdinand
Giggs
Lakini
RvP
Chicha
Nani
Rafael
Cleverly
Welbeck
Fernandez
Evra
Kagawa wote hawa wameondoka ondoka tu.
Ramos alikua anatutumia sisi kupata mkataba unaoeleweka Madrid
endapo angewabakiza baadhi ya hao wachezaji waliondoka bila sababu inayoeleweka + akaitumia vema hela aliyokua kapewa kwajili ya usajili sidhani kama tungekuwa tunalalamika kiasi hiki, sasa kama alishindwa ku-manage mambo ya transfer hii ni dalili pia ya kufeli
C.E.O Viper umepotea sana kule kwako kwa mabuluda. Uje bhana jukwaa limepoa sana...heri ya nwaka mpya mkuu.MAJIRANI ......HABARI ZENYUUU BHAAAAANA!!!! NMEPITA KUWASALIMIA NAONA MWAKA MMEANZA NDIVYO SIVYO!!!!
Leo unakwepa kuangalia historia wakati ubora wa kitu haupati siku moja, anyway mmetoa mara ngapi mchezaji bora wa ulaya na dunia ndani ya miaka hiyo 20-30? Mmeshinda mara ngapi kwa kipindi hicho chote dhidi ya Madrid? Mnachukua kombe mbele ya vitimu dhaifu zaid kama Liver, The blues, Man City Arsenal kwa ufupi ligi dhaifu ila iko publicity sana halafu unakuja jifananisha na R Madrid? Tangu timu ligi yenu tajwa hapo juu ziliponunuliwa na matajiri kisha kuziimarisha kidogo mmechukua mara ngapi mbele yao? Jichungulie kwa jicho la nne utajiona uko wapi..makombe 6 ya madrid ya uefa yametokana na dictator wa spain aliyekuwa anaitwa franco. kipindi hicho madrid wanaalika timu za kucheza uefa halafu wanazifunga then wanabeba kombe.
yani uefa ya zamani ni kama kombe la sasa hivi la arsenal linaloitwa emirates cup, arsenal anaalika watu anawapiga ananyanyua kikombe.
ili tusizungumzie enzi za mwalimu tuangalie miaka ya karibuni 20-30 iliopita, manchester united ni bora kila idara compare na madrid kuanzia makombe ya ligi hadi uefa.
timu pekee ambayo bila ubishi imeizidi man u kimafanikio ni barcelona. ila madrid? hapana
Ww ndo upo kwny akili yangu, maelezo ya wadhamini wetu adidas niliyaelew sn kwmba mauzo ya jez zetu n ya kiwango cha juu kuliko matalajio yao lkn, team haichez mchezo mzuri na wa kuvutia… kiukweli tuache kumung'unya maneno yule kocha hatufai…Mkuu sio kwamba tunasema walichokifanya Madrid ni sahihi ila angalia tofauti kati ya hizi club, benitez hakuwa na matokeo mabaya kiivo Madrid ila staili ya uchezaji wa Madrid ulibadilika, walikua wanaangalia zaidi matokeo kuliko entertainment.
Ukiangalia Madrid ndio iliyofunga magoli mengi kwa msimu huu (47), ipo point nne nyuma ya anaeongoza ligi, na point mbili nyuma ya mahasimu wao Barca, still wapo UCL sio matokeo mabayaa kiivo,
Msimu uliopita tunaweza kusema labda kweli van gaal alikua anaijenga timu, msimu huu tulianza vizuri tukaongoza hadi ligi na kuwa point nne juu ya anaeongoza sasa, tukaanza kutolewa C1C, tukaja uefa, tukaondolewa juu ya msimamo, tukaondolewa top four, mwezi mzima wa 12 hatujaonja ushindi, tumepata ushindi baada ya kuenda mechi nane bila ushindi, ( D4 L4) tupo nyuma kwa point Tisa kwa yule anaeongoza ligi, na point tatu kwa yule aliye top four na GD zaidi ya kumi, so kwa lolote lile hata tukishinda mechi ijayo na spurs akafungwa hatuwezi kuenda top four unless tumfunge Newcastle goli zaidi ya kumi,
Licha ya kwamba watu tunawacheka Madrid kwa maamuzi yao ya kukurupuka itabidi tukubali ukweli kwamba hata sisi pia tunachekwa kwa kutumia pesa nyiiingi lakin tuna compete na timu kama west ham, spurs na CPFC, badala ya kusonga mbele tunarudi nyuma,sidhani kama mafanikio aliyoyapata Carlo Madrid angekua utd kuna mtu angekua ana lalamika.
Ukweli mchungu we are now a laughing stoke, every one is laughing at us
Leo unakwepa kuangalia historia wakati ubora wa kitu haupati siku moja, anyway mmetoa mara ngapi mchezaji bora wa ulaya na dunia ndani ya miaka hiyo 20-30? Mmeshinda mara ngapi kwa kipindi hicho chote dhidi ya Madrid? Mnachukua kombe mbele ya vitimu dhaifu zaid kama Liver, The blues, Man City Arsenal kwa ufupi ligi dhaifu ila iko publicity sana halafu unakuja jifananisha na R Madrid? Tangu timu ligi yenu tajwa hapo juu ziliponunuliwa na matajiri kisha kuziimarisha kidogo mmechukua mara ngapi mbele yao? Jichungulie kwa jicho la nne utajiona uko wapi..
manchester ikaeka record timu ya kwanza ambayo sio bingwa nyumbani kwao kubeba uefa.
.
Mkuu hapo kama umenikomfyuz flani hivi, 99 si ndo tulichukua treble?? UEFA, FA na EPL?? Or ulikuwa unamaanisha nini hapo mkuu??
yap tulichukua treble ila hatukuwa bingwa wa 1998. mwaka 1998 alibeba kombe arsenal sisi tukafuzu uefa kama washindi wa pili.
sisi ni mabingwa wa ligi 1999.
(ushiriki wa uefa unatokana na nafasi ya ligi msimu uliopita, man united kabeba uefa 1999 hali ya kuwa si bingwa wa nchi aliotoka katika historia ya uefa man u ilikuwa ndio timu ya Kwanza kufanya hivyo)
Ndg bado unakwepa historia afu unarudi kwenye historia.. Unazungumzia dhahania ya udikteta kwa Madrid dhidi ya UCL hizo ni fikra tu au ndo tuamini kubebwa kwenu MAN U ndani ya EPL enzi za Alex Ferg ambae alipewa hiyo heshima ya Sir kwa mtazamo wa Waingereza ambao wanaongoza kwa misifa ya kijinga? Kubali tu kuwa umeshatanguliwa na huwezi kumkaribia MADRID mpaka siku umeme utakaposambazwa kwa wireless.ngoja nikupe kastori ka 1999 usifkiri fergie aliitwa tu sir
makundi Uefa
man u anapangwa kundi 1 na barcelona na bayern munich. kutokana na ukubwa wa hizo timu kila mmoja akajua man u out ila tukafuzu kundi bila kupoteza mchezo hata mmoja
mtoano
tukakutana na wakali wawili wa italia inter na juventus wakiwa na wachezaji wakubwa duniani enzi hizo kama zidane, edgar davids nk na wote tukawatoA. inter alikula 3-1 na juve 4-3
finali
tukamfunga bayern 2-1
manchester ikaeka record timu ya kwanza ambayo sio bingwa nyumbani kwao kubeba uefa.
kuhusu kuifunga madrid uwe timu kubwa
kama hiki ni kigezo nacho basi aberdeen kale katimu ka scotland alichokuwa anafundisha fergie ni timu kubwa sana duniani sababu waliwapiga bila huruma hao madrid mpaka man u wakamchukua fergie.
na sio kwamba tunakwepa historia hilo lipo wazi makombe 6 ya mwanzo ya madrid ni ya kupewa haiwezekani eti uefa zicheze timu nne tu tena za kuchaguliwa.
Ndg bado unakwepa historia afu unarudi kwenye historia.. Unazungumzia dhahania ya udikteta kwa Madrid dhidi ya UCL hizo ni fikra tu au ndo tuamini kubebwa kwenu MAN U ndani ya EPL enzi za Alex Ferg ambae alipewa hiyo heshima ya Sir kwa mtazamo wa Waingereza ambao wanaongoza kwa misifa ya kijinga? Kubali tu kuwa umeshatanguliwa na huwezi kumkaribia MADRID mpaka siku umeme utakaposambazwa kwa wireless.
teh teh teh nonsense hii.. kubahatisha mwaka mmoja kusikupe kichwa hivi. Ferg wako hamfikii MOU hata robo kwa mafanikio. Mtu anakaa na litimu miaka ishirini na ushee afu unakuja kumsifia hapa eti anamafanikio kwa EPL!? Ushajisahaulisha Porto ilichukua UCL chini ya nani na wachezaji wa namna gani eeh? Mmekutana na kushinda mara ngapi kwa R.MADRID? Sie kufungwa na kitimu chako kile siyo suala la kujadili maana kawaida kuotewa wakati mwingine. Ushawahi ona au kusikia mchezaji wa R.MADRID anatamani kuhama pale au kwenda kokote kwingne? Ila wa kwaenu na others day an night dreams zao ni kusikia anatakiwa na Madrid. BARCA unaozungumzia ni hawalali mpaka siku akimfunga R.MADRID ndo mioyo yao yasuuzika. REAL MADRID is a place to be, OVA & OUT!!hapo nimejibu logic zako kuwa man u kazifunga timu ndogo na kwamba kumfunga madrid ndio ukubwa.
mafanikio ya fergie ni makubwa hakuna kocha wa sasa ambayo anayo even ya ulaya sababu uingereza utasema alikuwa anabebwa.
akiwa scotland na kitimu kidogo kinachoitwa aberdeen fergie alifanya maajabu ya dunia kwa kuchukua kombe la ulaya. na unajua kwanini watu walishangaa? aliwapiga bayern na madrid on process.
akiwa man u fergie akaeka rekodi nyengine ya ulaya kwa miaka 4 kuingia finali tatu za uefa 2008, 2009, 2011 kipindi hicho madrid wao ni mwendo wa kuishia 16 bora tu. kama hufahamu madrid miaka 5 mfululizo ameishia 16 bora.
niambie kocha gani wa sasa ana mafanikio hayo? mourinho? guardiola? anceloti?
mwaka 1995 fergie aliwaacha senior players wengi na kubakisha vikinda kina giggs, beck, butt, neville brothers na scholes watu wakaapa man u haichukua ubingwa fergie akabeba na watoto, je kocha gani wa sasa anauwezo huo? ukimtoa lvg hakuna kocha aliefanya hivyo.
madrid mtaendelea kujisifia na makombe ya franco na mtaendelea kuwa kivuli cha barcelona igeni tu kila kitu wanachofanya
toka aondoke porto mourinho ni miaka 12 au unaweza sema 11. 2004-2016 na haya ni mafanikio yake ya ligiteh teh teh nonsense hii.. kubahatisha mwaka mmoja kusikupe kichwa hivi. Ferg wako hamfikii MOU hata robo kwa mafanikio. Mtu anakaa na litimu miaka ishirini na ushee afu unakuja kumsifia hapa eti anamafanikio kwa EPL!?
unahamu uone man u akimfunga madrid? usijali hamu yako nitaikidhi angalia video hii hapa chiniUshajisahaulisha Porto ilichukua UCL chini ya nani na wachezaji wa namna gani eeh? Mmekutana na kushinda mara ngapi kwa R.MADRID?
-moratta katoka kwenu, nusu fainali akawapiga na akawatoa halafu mkamtaka akawachomolea au huyu moratta hajacheza madrid?Sie kufungwa na kitimu chako kile siyo suala la kujadili maana kawaida kuotewa wakati mwingine. Ushawahi ona au kusikia mchezaji wa R.MADRID anatamani kuhama pale au kwenda kokote kwingne?
Ila wa kwaenu na others day an night dreams zao ni kusikia anatakiwa na Madrid. BARCA unaozungumzia ni hawalali mpaka siku akimfunga R.MADRID ndo mioyo yao yasuuzika. REAL MADRID is a place to be, OVA & OUT!!