Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nyie ndio hamjafanikiwa kuingia kwenye bahati nasibu?
Upo kama Carragher anayemponda Ozil, wakati Ozil ana world cup medal. Khe khe khe khe khe khek he khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

UCL sio kombe la kutisha kivile na ipo siku Gunners watalinyakua tu upende usipende (Ndio bahati nasibu yenyewe) kwa sababu misingi ya kushinda hilo kombe ipo, kitale kinachochezwa hadi hivi sasa hakuna timu hapa Wingereza inayoikaribia, walio karibu ni Leicester ambao tuliwachapa 5-2 kwenye home ground yao. Hivi wewe unashabikia katimu gani vile? Jaribu kunikumbusha .... ... .... ... khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee
 
UCL ni kombe la bahati nasibu lile ... .... ... . hata Chelsick walichukua ..... .
Kombe la nini? Sishangai ndio maana uefa wanapangwa wanaume kwanza utaona pot 1 barca port 2 man u port 3 chels port 4 Real port 5 juv port 6 buyern halafu Katimu kadogo kama arsenal kanatupwa Kwa buyern na kulialia
 
Chukua like
 
Mijitu mingine ahh ushuzi mtupu. Eti bahati nasibu. Mabingwa wa timu za Ulaya wanashiriki na kupatikana Bingwa halafu mtu anakuja kusema eti bahati nasibu. Baridi ya Alaska itakuwa imemdhuru.
 
Ndio matatizo ya kukariri, utashangaa vipi wakati hata utaratibu wa kawaida tu hufahamu unakupiga chenga. Mlikuwa mnalialia hapa miaka yote oh Gunners wanapendelewa sasa utaratibu umebadilishwa bado mnalialia tu. BTW wewe timu yako ipo kwenye pot gani? Umesukumizwa kwenye mechi za Alihamisi halafu ati unakuja kifua mbele, Kama unataka kuongelea historia sema, hivi sasa Gunners mziki mnene muulize yeyote yule wivu wa kike utawaua. Mlikuwa mnachema hivyo hivyo tulipokuwa tumepangiwa na Munchen tulivyowabangua mkafyata mkia, grow up! Gunners wapo 16 bora hivi sasa huko Uefa unakoongelea Manure wako wapi? Nafahamu utaanza kuruka kimanga ati wewe Chelsick chacha hao Chelsick wako wapi? Wanapiganana na kina Villa kwenye relegation battle ya EPL. Wacha kamba Gunners tupo mbele kwa mbele utatusikia tu mwaka huu na kwako ni majonzi. khe khe khe khe khe khe khe he he khe eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Mambo ya Alaska yanakuhusu nini wewe? Wacha ngebe nyinyi wengine hata timu mnazoshabikia inabidi tuzitafute kwa tochi khe khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Argrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr kisa mnaona aibu!
 
Nashukuru Barcelona watatuondolea makelele mitaani muda si mrefu.
Ndio matatizo ya kukariri, utashangaa vipi wakati hata utaratibu wa kawaida tu hufahamu unakupiga chenga. Mlikuwa mnalialia hapa miaka yote oh Gunners wanapendelewa sasa utaratibu umebadilishwa bado mnalialia tu. BTW wewe timu yako ipo kwenye pot gani? Umesukumizwa kwenye mechi za Alihamisi halafu ati unakuja kifua mbele, Kama unataka kuongelea historia sema, hivi sasa Gunners mziki mnene muulize yeyote yule wivu wa kike utawaua. Mlikuwa mnachema hivyo hivyo tulipokuwa tumepangiwa na Munchen tulivyowabangua mkafyata mkia, grow up! Gunners wapo 16 bora hivi sasa huko Uefa unakoongelea Manure wako wapi? Nafahamu utaanza kuruka kimanga ati wewe Chelsick chacha hao Chelsick wako wapi? Wanapiganana na kina Villa kwenye relegation battle ya EPL. Wacha kamba Gunners tupo mbele kwa mbele utatusikia tu mwaka huu na kwako ni majonzi. khe khe khe khe khe khe khe he he khe eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Nashukuru Barcelona watatuondolea makelele mitaani muda si mrefu.
Ulichema hivyo hivyo tulipowachapa Munchen, wenzako Barca wanaharisha hivi chacha kusikia Gunners wanawachubiri, weye ngoja Ali Hamisi .... .... .... Nicheke mie khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Wacha wivu wa kike.
 
Yeah,halafu mkaning'inizwa goli tano kwa channel 0

Cycle yenu tangu aondoke mzee wa vipochi tunaiona. Angalia table inavyosema. February tutawaona mkicheza vanga kwa Ali khamis aka Thursday Night Football. Barca ataondolewa msimu huu, utakuwepo hapa Jumanne/Jumatano kutushangilia hahahahaha
uandishi wako huu wa kijinga sana. I suppose ukiwa mwanafnz sifuri haukufai, I would draw you an ass
 
Manchester United's playing style criticised by Adidas chief executive

louis-van-gaal-manchester-united-chelsea_3393152.jpg

Louis van Gaal's playing style at Manchester United has been criticised by Adidas
Adidas chief executive Herbert Hainer says Manchester United's playing style is "not exactly what we want to see".

Louis van Gaal has been criticised throughout the current campaign for his perceived defensive tactics at Old Trafford, with former player Paul Scholes saying he would not wish to play under the manager and suggesting the team had no risk or creativity.

Prior to last Saturday's 2-1 win over Swansea City, United had gone eight games without a victory - in which they only scored five goals - a sequence which ensured the worst December in the club's history.

United have managed just 15 goals at Old Trafford so far this season; the lowest home record of all 92 Football League clubs.

fylOjp5pkC-GA4Zn4xMDoxOjBzMTt2bJ

Louis van Gaal feels Manchester United had progressed in 2015 with the exception of December
Adidas last season signed a world-record £750m, 10-year deal to manufacture Manchester United's kit and while business has exceeded the firm's expectations, chief executive Hainer admitted he has been less pleased with the team's on-pitch performances.

"This success confirms again that Manchester United is not just a football club," said Hainer.

"With more than 650 million fans globally it is one of the world's most supported sports clubs.

"This special club has not only a rich history but also a reputation for success. Business with Manchester United is going very well, we have sold more shirts than expected.

"We are satisfied, even if the current playing style is not exactly what we want to see."
 
Madrid wao wameisha mtimua yule muuza sura, saiz zidane kakabidhiw team, sisi mpk wadhamin wetu adidas hawaridhik na soka letu lkn bado bodi ya team ina mng'ang'ania Van Gaal, anae tupangia ashle
 
Wasio penda utan ktk suala zima la kupata matokeo uwanjan….
 
Attachments

  • 1451977397617.jpg
    1451977397617.jpg
    36.4 KB · Views: 33
Pep Guardiola alikuwa Masai Mara last week na anasema anaelekea Manchester United.
 
Wasio penda utan ktk suala zima la kupata matokeo uwanjan….
kaka nimepitia blog nyingi za man u leo za wazawa kila ninapokwenda madrid ni kituko na kichekesho sisi tu ndio tunaona wamefanya la maana.

kitendo cha kumfukuza kocha aliowapa uefa (anceloti) na kumpa benitez tayari inaonesha ni jinsi gani madrid ilivyo joke club.

na kumtoa benitez na kumpa zidane mtu ambae hata experience hana pia ni bahati nasibu wanacheza.

hebu tuangalie timua timua ya madrid ina faida gani?

mabingwa la liga karibuni
-2008 ni barca
-2009 ni barca
-2010 ni barca
-2011 ni madrid
-2012 ni barca
-2013 ni atletico
-2014 ni barca

so miaka 7 iliopita wana ubingwa mmoja tu wa ligi. kwa ulinganishaji man united toka 2008 kabeba mara 4.

uefa hivi karibuni
kwa zaidi ya miaka 10 iliopita madrid kabeba mara 1 tu uefa na kafika fainali hio hio moja.

kwa ulinganishaji man u kafika finali 3 na kombe 1, barca finali 4 na kombe 4, bayern fainali 3 kombe 1.

hivyo madrid finali 1 compare na kina barca, bayern na man u ni kichekesho.

hivyo sioni cha kusifia hapo hao jamaa policy yao ni mbovu tu.
 
REAL MADRID ni klabu bora ulimwenguni usiifananishe na za mchangani kama MAN U tafadhali
 
Back
Top Bottom