Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Saingine hakuna maana kugombea top 4 ili ukashiriki na kutolewa game ya 3 ya makundi. Tunahitaji man u inayocheza mpira wa kufunga magoli ya move badala ya dead balls.
 
Msimu jana young alimaliza akiwa tegemezi kupeleka mashambulizi mbele,msimu uliofuata akawekwa bench kumpisha mholanzi mwenzie bila sababu. Na hata sasa,young ndo mchezaji anayepiga krosi za maana kuliko depay ambaye anataka sifa ya kufunga wakati si majukumu rasmi kwake.
 
Msimu jana young alimaliza akiwa tegemezi kupeleka mashambulizi mbele,msimu uliofuata akawekwa bench kumpisha mholanzi mwenzie bila sababu. Na hata sasa,young ndo mchezaji anayepiga krosi za maana kuliko depay ambaye anataka sifa ya kufunga wakati si majukumu rasmi kwake.

1. Young kila shabiki wa man utd alikuwa hamtaki watu wakataka auzwe na ni lvg ndie aliemfufua. Leo hii lvg si wa maana bali anampendelea mdutch mwenzake tuache unafiki jamani

2. Mfumo wa sasa umuweke young winger halafu cross zake afunge nani? Depay? Mata? Rooney? Lingard? Martial? Ukimtoa martial wengine wote ni vi andunje na martial mwenyewe ni wa kawaida kwenye vichwa.

Ili tuweze kumchezesha young winger itabidi mfumo ubadilike turudishe formation yetu ambayo inamzunguka fellaini 4-1-4-1
 
Chief,lakini Young huyo huyo ndo alikuwa mpishi wa karibu magoli yote yaliyotokana na krosi na andunje hao hao walifunga. Krosi si lazima ipite juu mkuu.
 
Kuijenga man utd kupitia fellaini ni kuijenga nyumba isiyo na nakshi mkuu mkwawa.
 
Chief,lakini Young huyo huyo ndo alikuwa mpishi wa karibu magoli yote yaliyotokana na krosi na andunje hao hao walifunga. Krosi si lazima ipite juu mkuu.

Sababu fellaini alikuwepo na alikuwa akifunga au kuzipoza. Pia tulikuwa na watu kama falcao na rvp ambao walikuwa wazuri kwenye vichwa.
 
Kuijenga man utd kupitia fellaini ni kuijenga nyumba isiyo na nakshi mkuu mkwawa.

Hapana mimi nakataa fellaini ndio messi wetu sababu ili umkabe huyu jamaa ni lazima mumfanyie mazoezi ya kumkaba.

Usiangalie kwa timu yetu angalia timu pinzani ambazo zinahangaika kumkaba huyu jamaa. Hii inawapa nafasi watu design ya herrera na mata kupata space ya kupiga ile mipira hatari.

Kumbuka mechi za round ya pili anzia spurs njoo liver malizia na man city tulishinda kirahisi sababu ya fellaini. Lazma jamaa akabwe na watu 2 hivyo timu pinzani inakuwa kama imepata red tukiwashambulia.
 
It seems like Ed, SAF na boby Charlton wameshafanya maamuzi tayari
 
Van Gaal will go 'sooner rather than later'

Former player Jan Age Fjortoft believes Manchester United manager Louis van Gaal will be sacked and replaced by Ryan Giggs in the next few days, possibly even before Christmas.

Fjortoft, who played for Middlesbrough, Sheffield United and at international level for Norway, now works as a pundit in Germany, and says his contacts have led him to believe meetings to decide Van Gaal's future are at an advanced stage.

He also says the situation at Old Trafford since Sir Alex Ferguson's departure as manager closely resembles Bundesliga side Werder Bremen, who lost Otto Rehhagel as manager after 14 years in charge in 1995.

This clip is from 5 live Sport on Tuesday 22 December 2015.


Chanzo : http://www.bbc.co.uk/programmes/p03csz7c

herrera na everlenk naona GIGGS yuleeee
 
Last edited by a moderator:
Kamuuza Chicharito ona sasa anavyohaha kupata mfungaji....Chicha anatupia tu huko ujeruman anamuaibisha kwel kwel LVG.Goooo Chicharito Mungu yuko na ww
 
NO OFFER FOR MOURINHO SO FAR

Jose Mourinho's agent says Manchester United have not made an offer to the former Chelsea manager to take over at Old Trafford.

Jorge Mendes has spoken as speculation about Mourinho's future persists off the back of United's home defeat against Norwich on Saturday; their sixth consecutive game without a win in all competitions.

He told Globoesporte: "There is nothing. We don't know what will happen in the future, but now there is no agreement. There isn't an official proposal either, that's not true."

United's hierarchy held a meeting on Tuesday in London but it is understood Van Gaal's future was not the reason for the gathering and commercial matters were instead top of the agenda.



Louis van Gaal is under intense pressure after six games without a win at Manchester United

Mourinho, meanwhile, is believed to be home in Portugal spending time with his family having attended Brighton's game against Middlesbrough - managed by his former assistant at Real Madrid Aitor Karanka - on Saturday just two days after he was dismissed by Chelsea.

It has also been reported by the British media that Mourinho met his replacement Guus Hiddink to discuss what the new man at Stamford Bridge has inherited.

Mourinho - who-Carlo Ancelotti thinks lost his job after Chelsea's players lost motivation-- has already said he does not intend to take a break from football and iskeen to get back into management quickly.

Source : http://www.skysports.com/football/n...-not-offered-manchester-united-job-says-agent





Jose Mourinho took in Brighton's game with Middlesbrough on Saturday and is now thought to be back in Portugal

United dropped out of the Premier League's top four following their latest result in a further setback off the back of their exit from the Champions League earlier this month.

Van Gaal is due to speak at a media conference on Wednesday afternoon at 3.30pm ahead of his team's trip to Stoke on Boxing day
 
Good Morning from Manchester
 

Attachments

  • 1450852843743.jpg
    1450852843743.jpg
    52 KB · Views: 309
Source:goal.com

RUMOURS: ROONEY CALLS CRISIS
MEETING AT MANCHESTER UNITED
The captain and a group of senior players
have had a frank discussion with the Red
Devils coach in a bid to save their season
Manchester United captain Wayne Rooney
called a crisis meeting at Old Trafford in a
desperate bid to save the Red Devils' season
after defeat to Norwich City on Saturday,
according to the Daily Mail.
Louis van Gaal's side have slipped nine points
behind Premier League leaders Leicester City
after going six games without a win, with the
Dutch coach's position at the club now under
huge threat.
Senior players spoke frankly with Van Gaal
with regards his strict regime with some stars
believing their long injury list is due to over-
training.
The outcome of the meeting, however, was
that both players and management will work
hard to get the club's season back on track
with a trip to Stoke City on Boxing Day up
next.
 
Back
Top Bottom