Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Do we really need Morinho?

I don't think so, we better keep Giggsy.
 
Yani mechi za kufungwa anakaza mechi za kijinga ndo tunafungwa. Game za karibuni zote zilikua za kushinda lakini hamna kitu Ashley Young ndo mchezaji pekee kwa sasa mwenye uweze wa kutengeneza nafasi za kufunga kwa kuwa cross nyingi ambazo hata mabeki wanaweza kujichanganya wakajifunga lakini hapangwi na akipangwa anawekwa beki wakati mabeki wamejaa bench. The same kwa Valencia wakati yupo fiti hapangwi hadi mabeki waumie ndo akazibe nafasi. Tumu haiwezi kupata ushindi bila kutumia mawinga wanaopiga cross tutawalaumu bure washambuliaji hasa Rooney kuwa hawafungi wakati hawatengenezewi nafasi nzuri wanapangwa pembeni wanapiga tu chenga na kuingia na mpira katikati badala ya kutanua uwanja
 
Any update please.....
When did the special one will arrive?
When we're going to chace bastard van gal?
 
Any update please.....
When did the special one will arrive?
When we're going to chace bastard van gal?

Tetesi zinasema eti anapewa shavu la 5yrs duhhh!!!!.......Van gaal amepewa mechi mechi mbili akichemsha out.
 
Tusifungwe tutapotea ila afukuzwe tu HahahAha......

Aha haaa...
Bwana asipofungwa atatupa tumaini fek. Mimi kama van gal yupo i pray tutolewe ile yuefa ya alhamis, tutolew FA
Yan...
 
Aha haaa...
Bwana asipofungwa atatupa tumaini fek. Mimi kama van gal yupo i pray tutolewe ile yuefa ya alhamis, tutolew FA
Yan...

Kufungwa kuzuri ila sasa tukigungwa tena ndo tumepotea aiseee!!!
 
Mechi ya j'mosi nitakua Stoke city kwa mkopo ili tufungwe na LVG afukuzwe@
 
Back
Top Bottom