Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Naona kipigo cha 3-0 juzi kimeleta tafaruki katika hili jukwaa. Mnaanza kugombana kwa maneno halafu ni online mngekuwa mnajuana nadhani mngemalizana.
Na Bolt ndo hivyo kashahama timu baada ya kipigo lol

cc Nzi, Nakapanya, RRONDO, Belo, Herrera
 
Attachments

  • bolt-instagram-usain_3360795.jpg
    bolt-instagram-usain_3360795.jpg
    22.7 KB · Views: 117
Naona kipigo cha 3-0 juzi kimeleta tafaruki katika hili jukwaa. Mnaanza kugombana kwa maneno halafu ni online mngekuwa mnajuana nadhani mngemalizana.
Na Bolt ndo hivyo kashahama timu baada ya kipigo lol

cc Nzi, Nakapanya, RRONDO, Belo, Herrera

Kawaida tu...

Hiyo ya Bolt si alikuwa ameweka bet na mtu ama?
 
Naona kipigo cha 3-0 juzi kimeleta tafaruki katika hili jukwaa. Mnaanza kugombana kwa maneno halafu ni online mngekuwa mnajuana nadhani mngemalizana.
Na Bolt ndo hivyo kashahama timu baada ya kipigo lol

cc Nzi, Nakapanya, RRONDO, Belo, Herrera

Mchezo wa soka mtamu sana sasahivi uko jasiri kama Simba dume......
 
Hahahaha siku hizi tangia washinde hakosekani kabisa humu.... kaweka kambi kabisa Jamiiforums

Hongera kwa kushinda na uwe unapatikana namna hii hata Watford wakiwafunga next weekend rubaman

hahahaha mkuu naona umeshanyanyua matanga. Timu ikifungwa unapotea kama Mushaija mutoto wa nyumbani aka rais wa TFF. Sasa subiri kina Pazi na Malafyale wawaletee mvua baada ya kumpata Klopp, mtakuwa mnaning'inia pamoja na Chelsea.
 
Last edited by a moderator:

Mgao wa umeme sometimes unanifanya nishindwe kutetea timu yangu humu......

Vijana wa You will never walk alone soon wataanza kusema bora Brendan Rodgers angebaki

Hahaha kwahiyo ile statement yako kuwa CL nyie ndio bye bye vipi bado iko vile vile au ?
 
CL ndio imetoka kwetu(my opinion) itakuwa ngumu sana kuingia last 16. Liverpool watakuwa wameshachinja ng'ombe wote zizini baada ya Klopp kusaini karatasi.
 
Mchezo wa soka mtamu sana sasahivi uko jasiri kama Simba dume......

Hahahahahaha dada'ke Malafyale utakuwa unatokwa na chozi kila usikiapo Arsenal siku hizi. Mwaka huu mtatukoma mwezi February tutakuja Old Trafford kuchukuwa point 3 zetu nyingine. Baada ya FA Cup QF niliwaambia uteja umekwisha mkakataa, nadhani ukweli sasa unaanza kuwaingia ubongoni
 
Last edited by a moderator:
CL ndio imetoka kwetu(my opinion) itakuwa ngumu sana kuingia last 16. Liverpool watakuwa wameshachinja ng'ombe wote zizini baada ya Klopp kusaini karatasi.

CL mna kibarua kizito ila kama mtaweza kuzifunga hizo timu zingine ukiondoa Bayern mtakuwa na chance ya kupita... ila sio mbaya mkiwa mnakwenda kucheza na timu za Belarus kwenye Europa

Liver hawakawii kuanza kutamba na ile misemo yao "Hata wewe unajua kabisa huwezi kucheza na majogoo"
 
Naona kipigo cha 3-0 juzi kimeleta tafaruki katika hili jukwaa. Mnaanza kugombana kwa maneno halafu ni online mngekuwa mnajuana nadhani mngemalizana.
Na Bolt ndo hivyo kashahama timu baada ya kipigo lol

cc Nzi, Nakapanya, RRONDO, Belo, Herrera

Naona bado unasherehekea kombe lako la kutufunga hahahahaaa, enjoy your moment gud boy lewandowsky is at hand,
Huyo bolt hata yeye anajishangaa imekuwa kavaa jezi ya arsenal, bet mchezo m-baya sana,
 
Mgao wa umeme sometimes unanifanya nishindwe kutetea timu yangu humu......

Vijana wa You will never walk alone soon wataanza kusema bora Brendan Rodgers angebaki

Hahaha kwahiyo ile statement yako kuwa CL nyie ndio bye bye vipi bado iko vile vile au ?
Tehteh na kusoma unalalamika umeme wakati Solar ipo? Mkiambiwa mchague Mabadiliko hamtaki? Sie tushafanya Mabadiliko.
 
hahahaha mkuu naona umeshanyanyua matanga. Timu ikifungwa unapotea kama Mushaija mutoto wa nyumbani aka rais wa TFF. Sasa subiri kina Pazi na Malafyale wawaletee mvua baada ya kumpata Klopp, mtakuwa mnaning'inia pamoja na Chelsea.

Ubingwa wangu mapemaaaaa sina nongwa na mtu!Kaja mchawi wa mpira nani atasimama?
 
Last edited by a moderator:
Naona kipigo cha 3-0 juzi kimeleta tafaruki katika hili jukwaa. Mnaanza kugombana kwa maneno halafu ni online mngekuwa mnajuana nadhani mngemalizana.
Na Bolt ndo hivyo kashahama timu baada ya kipigo lol

cc Nzi, Nakapanya, RRONDO, Belo, Herrera
Huyo Bolt nadhani atakuwa waliahidiana na mtu kama alivyosema Nzi ila siyo kama amehama timu.GGMU but I SAY NO TO LVG
 
Hahahahahaha dada'ke Malafyale utakuwa unatokwa na chozi kila usikiapo Arsenal siku hizi. Mwaka huu mtatukoma mwezi February tutakuja Old Trafford kuchukuwa point 3 zetu nyingine. Baada ya FA Cup QF niliwaambia uteja umekwisha mkakataa, nadhani ukweli sasa unaanza kuwaingia ubongoni

Shukuruni LVG aliuza mechi ahahahahaha!!! Tubet mapemaaa OT hubebi point tatu.....
 
Last edited by a moderator:
Friday night was special for Juan Mata, David De Gea and Wayne Rooney - read about Spain reaching Euro 2016 and the United captain receiving a golden boot from Sir Bobby Charlton

12119066_10153280484397746_8671737303526298737_n.jpg
 
09/10/2015 21:37, Report by Adam Bostock

[h=1]Mata and De Gea qualify for Euro 2016[/h] David De Gea looked on as Manchester United colleague Juan Mata came off the bench to help Spain seal a place in next summer's Euro 2016 finals.

De Gea was an unused substitute for Friday night's 4-0 win over Luxembourg, with long-term no.1 Iker Casillas starting ahead of him, but Mata was pitched into the action much earlier than anticipated after just 11 minutes. The Reds midfielder replaced the injured David Silva, whose Manchester City team-mate Sergio Aguero was withdrawn while playing for Argentina on Thursday night.

The deadlock at Estadio Las Gaunas was broken by another Barclays Premier League star, Arsenal's Santi Cazorla, shortly before the interval and the same man wrapped up the scoring five minutes before full-time. In between, Mata's fellow sub Paco Alcacer - the young Valencia striker - netted a double to dash any hopes of an unlikely comeback from the visitors.

The only other international fixture to feature United players on Friday night was at Wembley where England, who had already qualified for the European Championship, maintained a 100 per cent record in Group E by beating Estonia 2-0. Chris Smalling completed the full 90 minutes in a centre-back pairing with captain Gary Cahill, Phil Jones remained on the bench and Michael Carrick joined Wayne Rooney in missing the match through injury.

Rooney did appear on the pitch before the game, however, as he received a golden boot from Sir Bobby Charlton to mark the United captain surpassing him as England's record goalscorer during last month's international matches.

12119072_10153280484402746_5058581205050739010_n.jpg

12144766_10153280484407746_7352480298170090924_n.jpg
 
Back
Top Bottom