Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,382
- 10,951
young uchochoro leo
Leo full backs zote shida tu...
young uchochoro leo
Leo full backs zote shida tu...
Hii ndiyo Man Utd ya LVG,Arsenal waliokuwa wanatuogopa leo hii wanacheza bila hofu kabisa.Darmian hana anachofanya,amekuwa uchochoro wa magoli,eti leo hii Man Utd ucheze mpira wa mipasi utegemee kumfunga Arsenal...sijawahi ona,leo nahisi zile nane tulizowafunga wanaturudishia.IN LVG I DO NOT TRUST
Natamani tuwapige arsenal hata goli 10 hivi.
Dah nipo mbali siangalii mpira sijui kimetukuta kitu gani tena uko au arsenal wapo speed sana
Jamaa wameshika dimba la kati...Morgan hayupo, basi shida tu pale..
Mpo kwenye denial stage,hamuamini kuwa Man U era is OVER na hata sisi Liverpool tulikuwa hatuamini kama nyie kwenye miaka ya 90's!Man U haji kuwa bingwa wa EPL labda miaka 10 toka sasa!Jamaa wameshika dimba la kati...Morgan hayupo, basi shida tu pale..