Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ferguson alikuwa master wa kupanga wachezaji kutokana na aina ya mechi nakumbuka kina Chicharito,Park Ji Sung,Wes Brown.Depay,Fellaini na Bastian hawa wanapaswa kupewa priority game za UEFA while Young,Martial,Mata,Schneidelein game za EPL

Anyways, ni kocha tofauti na ana mfumo wake. Tumuangalie atafika wapi.
 
12047173_10153259491577746_491706750042728629_n.jpg


Copy to cute b

Asante mkuu yaani umenipa kitu roho yangu inatakakaa
 
Last edited by a moderator:
vijana wanaleta raha,i have been waiting for so many years to see man utd playing like this,napenda timu kumiliki mpira,na huu utamaduni mpya van gaal anaupandikiza utadumu kwa muda mrefu
 
Mkuu tatizo hao WC striker siku hizi wako wachache sana (Aguero,Benzema,Suarez,Lewandoski) wakati wa usajili Man United walipeleka offer paundi mil 65 kwa Muller but Bayern wakagoma.Cha msingi ni viungo kusaidia kufunga magoli (Mata,Depay,Hererra) hawa ni viungo wazuri sana kufunga kila mmoja akifunga at least magoli 12 tutakuwa mbali

Point mkuu umeona mbali
 
Mpira mbovu kbsa mnacheza na kupata matokeo ya kubaatisha mnajisifia wenyewe poor Manchester
 
Back
Top Bottom