Baby wako anaangusha team. Showoffs nyingi sana.
Hahahaaaa sharobaro...ila vipi kafunga si umemsameheeee?
Baby wako anaangusha team. Showoffs nyingi sana.
Hahahaaaa sharobaro...ila vipi kafunga si umemsameheeee?
Mataaaaaaaaaaaaaaaaa
Mamakeee baadae mpenzi wangu ndio tunaingia ukumbini now..hapa niliingia kwa simu ya mtu.
Aunt lenk mmwah
Mamakeee baadae mpenzi wangu ndio tunaingia ukumbini now..hapa niliingia kwa simu ya mtu.
Aunt lenk mmwah
Woyooooooo....define mata..
Matokeo jamani
Eee Mungu muumba mbingu na nchi Man City wameloose tusaidie sisi tuwin na tuwe pale juu, msaidie Van Gaal achezeshe karata zake vyema, watie nguvu wachezaji wetu wacheze kufa na kupona na wape uwezo wa kufunga magoli mengi ni Point tatu tu tunahitaji, Naamini yote katika jina lako Ameeen, watu wote tuseme Amen......#GGMU