Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hongera kwa kuondoa gundu...
 

Attachments

  • 1443280569843.jpg
    1443280569843.jpg
    41 KB · Views: 80
Leo sijui kafichwa wapi binti huyu nimemsaka kila mahali lakini holaa hapa nimetuma makamandoo wangu wamsake kila mahali.... cute b weeeeee shemeji kafanya mambo huku.....

ameshakuja tayari mrs. depay
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaaaaaa mamy hukuu hurereeee wanajua nashangilia harusi kumbe magolii ya rooney na babito

Hahahhahahha usije kuwa kama mimi ile last week watu wananiona nayarudi kumbe najichezea kigodoro changu. ........
 
Jamani tupo mbari Na TV tupeni uhondo kunani

Leo wale watu na gundu zao wamezisafisha...depay kaifungia Manchester united goli la kwanza kwenye EPL na Rooney kafunga pia goli moja akiwa amepokea pasi kutoka kwa antony martial
Matokeo ni
Man u 2 -0
 
Back
Top Bottom