Bastian au Anders inabidi aingie ili kupeleka mashambulizi mbele zaidi.
Hata mimi nimeona hilo. Deepay au Carrick au wote watoke waingie Bastian na Herrera.
Depayyyyyyyy
nisaidie kumuita cute b
Thank you shemeji....
Leo sijui kafichwa wapi binti huyu nimemsaka kila mahali lakini holaa hapa nimetuma makamandoo wangu wamsake kila mahali.... cute b weeeeee shemeji kafanya mambo huku.....
Senkyuu shemeji Depay, wapi cute b???
Woyooooooooooooooo........my baby depay thank yuu so much......duuuuuuuuuuuuh hurereeeeeeeeeeeeeeee.
Wakuu nipo sema mjue nini...leo jumamosi afu dizain kama mrs depay ni flower kwenye hiyo harusi ila pamoja sana..
Eee Mungu muumba mbingu na nchi Man City wameloose tusaidie sisi tuwin na tuwe pale juu, msaidie Van Gaal achezeshe karata zake vyema, watie nguvu wachezaji wetu wacheze kufa na kupona na wape uwezo wa kufunga magoli mengi ni Point tatu tu tunahitaji, Naamini yote katika jina lako Ameeen, watu wote tuseme Amen......#GGMU
Aiseeee!!!! Bora maana nilikonda ghafla uliponipotea........
Ningekuwa mimi, ningewatoa Carrick na Rooney na kuwaingiza Bastian na Herrera. Kisha Young anachukua nafasi ya Depay.
Herrera anapiga 10 huku akibadilishana na Mata.
Hahaha ungekosa goli moja.