Today will be the second...
Ushindwe na ulegeee hapo hapo ......
Line up...View attachment 291473
Leo nakuombea mabaya tuuuu, wacha niendelee angalia Simba na Yanga
Eee Mungu muumba mbingu na nchi Man City wameloose tusaidie sisi tuwin na tuwe pale juu, msaidie Van Gaal achezeshe karata zake vyema, watie nguvu wachezaji wetu wacheze kufa na kupona na wape uwezo wa kufunga magoli mengi ni Point tatu tu tunahitaji, Naamini yote katika jina lako Ameeen, watu wote tuseme Amen......#GGMU
Mpira upo slow sana. Na wanapoteza mipira sana kwenye final third.