Juwaine
JF-Expert Member
- Oct 1, 2013
- 624
- 170
Hatuna kocha mkuu....Huyu LVG hakuna kitu kabisaa.
Wakati tulikua tukikwambia ilikua unatuaona wanazi eeenh
Hatuna kocha mkuu....Huyu LVG hakuna kitu kabisaa.
Mwanakijiji
You are loosing your direction and mind. Mkapa kama mwenyekiti wa chama cha siasa au kama mtanzania mwingine ana uhuru wa kutoa msimamo wake na mawazo yake au ya chama. Kudharau mahakama ni kutofuata maamuzi ya mahakama. Let us look the other side of the coin, kama mahakama ingekataza mgombea binafsi viongozi wa vyama vinavyounga mkono mgombea binafsi vingekuwa na uhuru wa kutamka kutofurahishwa na maamuzi ya mahakama. Huko siyo kuzalau mahakama.
Mimi binafsi naunga mkono wagombea binafsi kwa sababu siyo haki kwa mtu ambaye hakubaliani na sera za chama chochote kumkataza asigombee nafasi ya uongozi katika jamii. Ingawa tukiangalia ukweli itakuwa ni vigumu sana ka mtu mmoja kuuza sera zake bila kuwa na chama. Mimi sielewi ni kwa nini CCM wanapinga kwani naamini wagombea binafsi ni + kwa CCM. Tutegemee utitiri wa wagombea na mara nyingi kwenye hali kama hiyo ni + kwa CCM. Lakini hiyo siyo sababu ya mimi kuunga mkono ila naamini ni haki kwa kina mtu kuogombea uongozi bila kujali itikadi.
Jana nimesikitika kumtoa Mata ile Sub ilikuwa ya Memphis.Swansea ni wazuri but game ya Jana tumeipoteza wenyewe LVG amefanya uzembe sana,sijui kwa nini alimtoa Mata akamuacha Depay kuanzia mwanzo alikuwa mzigo.Shaw alikuwa anacheza beki same time winga. Kuna dogo James Wilson sijui kwa nini hapewi nafasi na tuna tatizo la striker
LVG is USELESS......
Shwaini kabisa!!!!!!! Yaani hizi siku 2 wasiposajili nitamchukia sana.
Hivi LVG hana plan B nyingine zaidi ya kutumia long ball Kwa Fella..au mimi huwa sielewi?LVG hata akimnunua Messi hatafanya chochote! Ni wachezaji pekee ndio watambeba ila sio kwa uwezo wake!

LVG ni kocha mzuri tuwe na subiri msimu huu timu yetu IPO vizuri sema WAZZA anatuangusha cjui anacheza rede kule mbele hats LVG anajua hill lkn nahisi tu kwavile no Mwingereza basis anamuonea aibu....WAZZA ndio mchawi wetu mechi muhimu km ile siyo ya kupoteza nafasi 3 au 4 za kufunga labda ana KIPINDUPINDU
Hivi LVG hana plan B nyingine zaidi ya kutumia long ball Kwa Fella..au mimi huwa sielewi?
Tangu last season Plan B yake ni hii sijawahi ona tumefungwa halaf tukafight kwakutumia Plan B nyingine![]()
![]()
![]()
![]()
Mkuu Rooney hana tatzo, kila mchezaji hua anapanda na kushuka, kikifika kipindi cha kushuka hata mchezaji mwenyewe anakua hana jinsi hapo kocha ndio anatakiwa achezeshe akili yake, kwa kiwango cha Rooney cha saiz najua ata akiwekwa benchi hata maindi, van gaal analazimisha Rooney aonekane bora wakati kiwango chake kimeshuka, depay Jana alichoka kuanzia dk ya 70 lakini van gaal hakuliona hilo akalazimisha acheze dk zote, nafikiri Jana tumeona kwamba blind sio CB, hadi kufikia dk ya 60 hakuna tackle yyte iliyofanywa na beki zetu na ikafanikiwa.
Welbeck
RvP
Falcao
Di maria
Wote wameondoka hamna replacement saiz zamu ya chicha anaenda Leverkusen sijui kama kuna replacement yyte itakayokuja, in fact hatuna kocha nina uhakika hii timu akipewa giggs itafanya vzri kuliko hili lizee,
LVG hata akimnunua Messi hatafanya chochote! Ni wachezaji pekee ndio watambeba ila sio kwa uwezo wake!
kuna vitu vya kuchekesha sn pale man utd chini ya van gaal!! kiuhalisia jamaa anaangalia udugu sn!! mi sioni sababu ya blind kucheza CB wakati mtu km rojo yupo nje ""hana mechi fitness""according to lvg!! kisa hakucheza pre season, je mess,neymar hawa wote wanacheza bila shida na walikuwa na rojo!! rojo+smalling hiyo ndo beki!! lvg!! leo hii nasoma taarifa nackia anthony martial wa monaco 19years, kwa paun mil43, huu ni upuuzi mkubwa kwa lvg