everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Kwa maana hiyo unataka kusema tutakuwa ready kusubiri huyu Dogo Aimproved akiwa Man U....Je vipi kuhusu wakina Welbeck....Chicharito.....na wengine ambao walihitaji muda huo
Nadhani ndivyo hivyo sasa ana maana gani kumleta huyo...Mimi naona tu hao kina Welbeck na Chicha LVG hakuwapenda tu,Chicha juzi kukosa Penalty tu kwa game tuliyoshinda povu likamtoka kwamba awe huru kuondoka wakati baba Kai kila siku anakosa nafasi za wazi na anasema let's wait goals will come!!! Shwaini kweli huyu!!!!!