Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mata you matters a lot Lakini ndo vile tena Ayew na Gomiz wakaharibu shughuli yako....
 

Attachments

  • 1440963440645.jpg
    1440963440645.jpg
    40.2 KB · Views: 110
Hivi ni kweli au naota!!!! Ndo hivyo tena ushafeli test yako ya kwanza......
 

Attachments

  • 1440963522526.jpg
    1440963522526.jpg
    37.3 KB · Views: 113
Half Time hiyo tungejua matokeo ndo yatakuwa hivyo tungegomea humo humo kwenye dressing room....lol
 

Attachments

  • 1440963621891.jpg
    1440963621891.jpg
    42.7 KB · Views: 129
Natamani muda urudi nyuma hawa Swansea wameniadabisha kwa mara nyingine halafu mbaya zaidi Magoli yale yale .....
 

Attachments

  • 1440966353631.jpg
    1440966353631.jpg
    39.1 KB · Views: 114
Nimechoka LVG nipumzishe Mbona husikii kilio cha mashabiki saini tu striker mwingine please.....
 

Attachments

  • 1440966464599.jpg
    1440966464599.jpg
    41.4 KB · Views: 111
Good Mata it was very interesting
 

Attachments

  • 1440966582899.jpg
    1440966582899.jpg
    76.9 KB · Views: 111
Back
Top Bottom