Naona Wapiga kigodoro meyewe....... Unataka kuzuia nguvu ya mafuriko kwa mkono?😀
Ngapi ngapi jamani
Mmetususia kigodoro chetu ndo maana nakicheza mwenyewe kwa raha zangu na machozi yangu......
LVG anashindilia kapu la pensheni yake. Next season muda kama huu Giggs atakuwa manager, Gary Neville atakuwa assistant.
Kicheze tu mwahego maana siku hizi mi na wewe hatuchekani
Huyu mzee hataki kuamini ukweli.
Haiwezekani timu yenye uhakika wa goli moja tu, ishindwe kulilinda hilo goli ndani ya dakika kumi ili ipaye ushindi!.
Anakatisha tamaa sana.
"I think we were in control for 85 minutes - that's what I have seen. The result was 2-1 to them and that cannot happen. We gave the game away in five minutes and that cannot happen. We must learn from it." --Louis van Gaal
Nasubiri promise hii ........