Asante mtani nawe pia, nakuona kesho kifua mbele ukiingia kwa job no kutaniwa tena......lol.....baridi!!! Si uniite tu.....
Hapo kwa red loooh 🙂🙂.
Bahati mbaya niko likizo natamani niikate nirudi
Mmefungwa na katoto fulani hivi,kanaitwa Swansea city!!
Aiseee!!! Hata siamini ni wewe umeongea account yako imekuwa hacked!!!??....lol
Ni kweli sasahivi mpira umebadilika sana hizi timu kubwa inabidi zijifunze sasahivi inabidi zisicheze kwa mazoea tu lasivyo zitabaki na majina makubwa tu wakiwa Hamna lolote,EPL ya sasahivi itakuwa ni EPL ngumu ambayo haijawahi tokea, ushindani utakuwa mkubwa sana......anyway kila jambo na wakati wake ngoja tuone gurudumu litaendaje......
Mkuu mie.tangu pre season sina Imani kabisa na Wazza....View attachment 282185
Kwa hii fixture na striker tulio nao naona kabisa Man Utd tutasumbuka sana kutoboa.
Hahahahahahahaha!!!
Hii mi-team inazingua sana Aisee..
Pole lakini..
State of our football clubs, Man city had a bad season last year, Chelsea captalized from that, now chelsea are having a bad season and Man city are captalizing it, Us LFC fans, Man utd fans and Arsenal fans we're busy bantering ourselves on Jamii forums..
Na hali imekuwa mbaya coz kilichobaki ni kuchekana kwenye transfers tu, yaan zile banters za kumcheka mwenzako kwa kufungwa na small clubs hazipo, coz hujui wewe kitakukuta nini kesho..it hurts sana Aisee..
Now Man city ambao walikuwa unknowing before 2008, are running EPL mbele ya Man utd, Arsenal and LFC..mashabiki wa hiz team 3 wamebak kuchekana kuhusu *blunder za usajili* tu kwenye social networks na siyo Matokeo, zamani mtu unamcheka shabiki wa United akidraw against these small clubs, lakin now unamcheka man utd kwa kufungwa na Swansea, same to LFC and Arsenal..them glory days are gone man..we're just here bantering each other on jamii forums..
Feel for man utd fans, Liverpool fans and Arsenal fans, team zetu hazikuwa hivi, we used to rule Europe back in a days..from beating The likes of madrid, Barcelona, Bayern Munchen mpaka kuja kuwa trolled na small teams za EPL, ambazo kila siku zinavunja records zao tu, bora hata united, Old Trafford imeanza kuwa easy place to visit for the last 2 years, but LFC imekuwa hivyo for the last 6 years, westham anapata ushind pale LFC tangu ashinde kwa mara ya mwisho mwaka 1963..leo anashinda emirate na Anfield kirahis.. Sahv crystal palace anaweza akawa anaenda Trafford akitegemea chochote, wakat back in the days, United wanakuwa wanaenda let say Liberty stadium wakiwa na uhakika wa ushindi, lakin sasa tunakuwa tunategemea chochote..
Na asikudanganye mtu akakwambia huu ni mwanzo wa msimu tu, game ya 4 hii, na team zetu hazijaclick kwa chochote, huoni improvements hata kidogo..ile "death by football" haipo sahiv, na ilikuwa sana kwa united, nakumbuka zile late comebacks za Fergie and his boys..Dah, LFC ndo kabisa yaan tukipigwa 2 first half ndo basi tena, game ishaisha..zama hizo united akicheza na LFC, Arsenal and Leeds Utd, ndo unahis ngoma inaweza ikalala upande wowote..games zingine zilikuwa predictable tu..them days ambapo Liverpool Vs Man utd ndo ilikuwa game kubwa kwa ngazi ya clubs in the world, but look what happened after 2008-2009, Arsenal started kupoteza ile bitter rivaly yao against united baada ya kina Viera, Gilberto, Henry, Pires, Petit, Parlour etc kusepa..Man city alikuwa ni nan mbele ya Man utd back in them days??, sahiv those mercenaries are running EPL..
Mkuu acha.....Umeandika vitu....Tunasema ligi bado mbichi wakati Man city anajizolea mapoint na GD nzuri...State of our football clubs, Man city had a bad season last year, Chelsea captalized from that, now chelsea are having a bad season and Man city are captalizing it, Us LFC fans, Man utd fans and Arsenal fans we're busy bantering ourselves on Jamii forums..